Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 20,188
- 37,678
Nimekuelewa MKUU ila nahisi pia nawewe hujanielewa Majibu Yangu VyemaMi naon kheri marekani sababu kuna mchanganyiko wa watu ingawa racism bado ipo na afro americans pia wanakabiliwa km sisi waafrica
Kuliko haya mataifa ambayo yanapingan na system ya mmarekan na wanatak ku take control, haya mataif ni mabay zaidi
1.china
2.russia
Kuna ubaguzi mkubwa pia na china huwa wapo kwaajil ya interest zao binafsi
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana... Unafikiri nje ya box[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hizo Nguvu Alizonazo Hao Wasiokua Waislam wanaraha ipi yakuishi ?!
Angalia VENEZUELA waislam Wale ?!
Rudi Kawaangalie Zimbabwe Waislam wale ?!
Rudi Angalia Anavyowaambia Muowane Watu Wenye Jinsia moja kawaambia waislam tu ?!
angalia Vikwazo anavyomtwanga Navyo RUSSIA na UCHINA yale ninataifa Yakiislam ?!
US hachukiwi Kwasababu Ya UDINI Anachukiwa Kwasababu yauonevu wake uliojaa ulimwenguni sio kwamataifa Yakiislam tu ama Yawaislam Ila Mpaka Hayo Yanayojiita Yakisekyula Angalia Mataifa Mangapi Yasiokua Yakiislam Yanavyoteseka Ulimwenguni Sababu Ya US au NORTH KOREA niwaislam wale ?!
Tatizo lenu mmemezeshwa propaganda baadhi ya watu wameamua kufungamana na UCHINA na RUSSIA kwan UCHINA ama RUSSIA nimataifa Yakiislam yale ?!
Tafakari upya juu ya US kiongozi Unahisi kama Itatokea Sasa hv US akawa sio SUPER POWER unahisi litatawala taifa ambalo nila KIISLAM ?!
Ukweli Nikwamba US nipangimizi Kwaustawi Wayeyote ambae atakua Haendi Sawa na anavyotaka yeye wala Sio Ustawi wamataifa ya KIISLAM kwani SAUDIA QATAR UAE Zimefika pale zilipo kwaushirikiano wanani nakwamsaada wanani kama sio hao hao US ama QATAR SAUDI ARABIA na UAE Sio mataifa Yakiislam ?!
Kama nikikwazo kwamaslahi Ya Mataifa Yakiislam QUBA niwaislam VENEZUELA niwaislam ZIMBABWE niwaislam AFRIKA KUSINI ilokua Chini Yamandela Niwalikua Waislam UKRAINE ilikua Yawaislam ?!
Kama Utaamua Kwenda Kinyume namatakwa ama maslahi ya US hatakama UK atageukwa tu hatakama CANADA atageukwa tu US linapokuja SUALA lamaslahi yake hua haangalii kama mnadini sawa ama vp atakunyoosha tu
Nb:-sidhanii kama US nitaifa linalofungamana na mrengo fulani wakidini sidhaniii
Sent using My COVID-19
Hawa sijui huwa hawafuatilii hizi details ulizoziainisha hapa .. !!!!!!USA sio sehemu salama kuishi,idadi ya mauaji tu,karibu waizidi Syria kea mwaka wakati Syria iko vitani Sasa je marekani ikiwa vitani SI wataisha?
Marekani Ina idadi kubwa ya watu magerezani kuliko nchi yeyote duniani,
Kodi za manyanyaso Ni nyingi[emoji2][emoji2],yaani hata ufungue genge la kuuza nyanya ,pilipili hoho lazima ulipie mapato,,,Kama wewe tusene Ni bilionea inatakiwa utoe sehemu ya pesa kwa jamii na ukifa bill kutoa,serikali inataifisha Mali,
Hakunaga ujirani mwema,yaani kila mtu kivyake,,watu Wana stress wanajinyonga ovyo na mtu akiboeka tu,anachukua bunduki na kwenda kuchapa risasi watu,
Hahahaha hapa hatorudi tenaNgoja nikuwekee hi kwanza ukute unatafuna tafuna kiufupi Gaza Ni more safe kuliko USA.
View attachment 1453302
USA wapo kwaajili ya interest za nani ??Mi naon kheri marekani sababu kuna mchanganyiko wa watu ingawa racism bado ipo na afro americans pia wanakabiliwa kama sisi waafrica
Kuliko haya mataifa ambayo yanapingan na system ya mmarekani na wanatak ku take control, haya mataifa ni mabaya zaidi
1. China
2. Russia
Kuna ubaguzi mkubwa pia na china huwa wapo kwaajili ya interest zao binafsi
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeeleweka mkuu.... Ambaye hajakuelewa ana utindio wa ubongoNimekuelewa MKUU ila nahisi pia nawewe hujanielewa Majibu Yangu Vyema
Binafsi Nimetoa Sababu zakwanini US anachukiwa Nanikatoa Sababu Zakuhusiana Na Jamaa Hapo Alosema Yakwamba Waislam Ndio Wanaoichukia US nanikatoa Mfano Wamataifa Yasiokua Yakiislam Ambayo Yamedumazwa Nakutaka Maslahi Kwa US bilakujali wao Nidini Ipi Nahapo hapo Nikamuekea Mfano Wamataifa Ambayo Niyakiislam Ambayo Chachuyamaendeleo Yake Yametokana na Wamagharibi(US)
Kuhusiana nasuala la Interest Hatakama Itatokea Super Power Ikawa UGANDA basi lazma waweze kuangalia Interest Zao kwanza mengine yatafuata
Nb:-lengo lajibu langu hapojuu kwamtoa koment haikua kama nani anafaa kua kiranja wadunia kwasasa ama laa ila ilikua kutaka kumuonesha yakwamba
1:-US linapokuja suala lamaslahi yake hua haangalia kama wewe dini gani wala nini yeye anaangalia maslahi kwanza hayo mambo mengine mtajuana baadae
2:-Nlikua Nataka Kumuonesha mtoa koment hapo juu yakwamba yapo mataifa ambayo 99% niwaislam nalipowazi yakwamba wameendelea sana baada yakufungamana na US
3:-Nlikua Nataka Kumuonesha Yakwamba Hata VENEZUELA NORTH KOREA RUSSIA UCHINA CUBA haya yote sio mataifa Ya Waislam wala Yakiislam Ila Yameionja Shubiri Ya US kwanamna moja Ama Nyengine
Kwahio lengo langu lilikua nihili tu MKUU kama umenielewa vyema lakini.
Sent using My COVID-19
Inatafakarisha.Kwa hakika nguvu aliyo nayo Mmarekani angekuwa nayo Mwarabu Wakristo duniani tungefutwa au kuishi kwa mashaka makuu
Ndiyo maana inakua nchi salama na bora kwa ajili ya maisha. Sheria zao zimeandikwa na zinaeleweka na mwananchi anachagua aifuate au aburuzwe na sheria mahakamani.USA sio sehemu salama kuishi,idadi ya mauaji tu,karibu waizidi Syria kea mwaka wakati Syria iko vitani Sasa je marekani ikiwa vitani SI wataisha?
Marekani Ina idadi kubwa ya watu magerezani kuliko nchi yeyote duniani,
Kodi za manyanyaso Ni nyingi😃😃,yaani hata ufungue genge la kuuza nyanya ,pilipili hoho lazima ulipie mapato,,,Kama wewe tusene Ni bilionea inatakiwa utoe sehemu ya pesa kwa jamii na ukifa bill kutoa,serikali inataifisha Mali,
Hakunaga ujirani mwema,yaani kila mtu kivyake,,watu Wana stress wanajinyonga ovyo na mtu akiboeka tu,anachukua bunduki na kwenda kuchapa risasi watu,
Na ndio sababu Mungu hajawapata Waarabu hizo nguvu.Ukweli mchungu:Wanaoichukia Marekani wanasababu zao kuu 2.
1.Udini, waislamu wanaiona US. ni pingamizi kwa ustawi wa uislamu ulimwenguni.
2.Economic & military power.
Ukiondoa hizo sababu mbili hapo juu basi yeyote anayeichukia US kwa sababu nyingine huyo ni bendera fuata upepo.
Kwa hakika nguvu aliyo nayo Mmarekani angekuwa nayo Mwarabu Wakristo duniani tungefutwa au kuishi kwa mashaka makuu
100% correctMwarabu angekuwa ndio mmarekani angetunyanyasa sana hasa kwenye maswala ya kidini, angefosi watu wote wawe Waislamu.
Habari wakuu, kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Marekani tunajua ndilo taifa lenye nguvu sana duniani so far.
Je ni kwanini tunaaminishwa mambo mabaya tu yanatokea Marekani?
Hii chuki ya jamii nyingi haswa za kiarabu dhidi ya Marekani je ni kwa sababu tu ya vita na maslahi yake ya mafuta katika ulimwengu wa kiarabu au kuna chanzo kingine cha chuki dhidi yao?
Na pia wamarekani wanachukiwa kwa vile wamefanikiwa sana au shida ipo wapi?
Wengine wameenda mbali na kusema Marekani inamwabudu Lucifer ndio maana wapo hapo walipo leo.so sad indeed [emoji19]
Wakuu kama kuna atatujuza kwenye hili nitashukuru sana..
Akhsante
MÊmENtO HoMO
Leta idadi ya miaka hiyo hiyo wanaopigwa risasi na kufa Marekani.
If you are BIG, the higher you go the more visible you become to many, the target you are!Habari wakuu, kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Marekani tunajua ndilo taifa lenye nguvu sana duniani so far.
Je ni kwanini tunaaminishwa mambo mabaya tu yanatokea Marekani?
Hii chuki ya jamii nyingi haswa za kiarabu dhidi ya Marekani je ni kwa sababu tu ya vita na maslahi yake ya mafuta katika ulimwengu wa kiarabu au kuna chanzo kingine cha chuki dhidi yao?
Na pia wamarekani wanachukiwa kwa vile wamefanikiwa sana au shida ipo wapi?
Wengine wameenda mbali na kusema Marekani inamwabudu Lucifer ndio maana wapo hapo walipo leo.so sad indeed [emoji19]
Wakuu kama kuna atatujuza kwenye hili nitashukuru sana..
Akhsante
MÊmENtO HoMO
SI unacheki,kula palipo na mafuta ama gesi Kuna ishuTukigundua mafuta hapa leo jiwe akafanya mema kwa kusema kuanzia leo elimu ni bure na bei ya mafuta ni nusu ya bei ya Dunia na kila mwana nchi atalipwa na madini yetu tutauza kwa tunayemtaka na mafuta pia !!!
WANAMTOA SADAKA MDA MFUPI KULIKO Gaddafi!!
Umeme wenyewe wana leta za kuleta!!
Marehemu mzee wangu alikuwa akiniambia marekani ni Nchi ya wanyanganyi nilikuwaga simwelewi!!SI unacheki,kula palipo na mafuta ama gesi Kuna ishu