Pennstatepro
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 201
- 293
I support you.Ukweli mchungu:Wanaoichukia Marekani wanasababu zao kuu 2.
1.Udini, waislamu wanaiona US. ni pingamizi kwa ustawi wa uislamu ulimwenguni.
2.Economic & military power.
Ukiondoa hizo sababu mbili hapo juu basi yeyote anayeichukia US kwa sababu nyingine huyo ni bendera fuata upepo.
Kwa hakika nguvu aliyo nayo Mmarekani angekuwa nayo Mwarabu Wakristo duniani tungefutwa au kuishi kwa mashaka makuu
Uzi umejaa wavaa kanzu tu,wala hawana hoja.
Ajabu!
Wako wengi tu, kuna watanzania wengi sana huko arabuni wanapiga kazi na kulisha family zao hukuHakuna anayeichukia USA ila wapo wanaodiss kiaina huku wanaikubali, wakipata nafasi za kutoka nchini kwao hawaendi Saudia au Iraq ni moja kwa moja kiwanja. Uliza kama kuna msomali anataka kwenda Saudia.
USA sio sehemu salama kuishi,idadi ya mauaji tu,karibu waizidi Syria kea mwaka wakati Syria iko vitani Sasa je marekani ikiwa vitani SI wataisha?Haya yote mnasema lakini USA ndiyo taifa inayoongoza kwa kua na watu wengi wa mataifa mbalimbali ulimwenguni na wanaishi kwa furaha sana wenda wafanye makosa au laa lakini wanasikilizwa kwa ubinadamu wao siyo kwa utaifa wao.
Nenda kwenye hayo mataifa mnayosema yanaonewa na USA uone wanavyoonea raia wa mataifa mengine.
Kuhusu suala la taifa kama taifa hapa tu Tanganyika tunawakandamiza taifa la Zanzibar kila kukicha kwa mwamvuli la muungano wa Tanzania.
Ukweli ni kua USA bado ni sehemu salama kwa binadamu yeyote kuishi kuliko huko Venezuela..Russia..China...Korea kaskazini...Tanzania..Kenya...Japan..Iran...Israel..Kidogo Uk inajua nini maana ya ubinadamu.
Kwa lugha moja USA bado itaendelea kuingoza dunia kwasababu katiba yao iliandaliwa na watu kwa mijadala mipana siyo hizo nchi zingine viongozi wanajifungia chumbani then wanatoka na kikaratasi ya kuanza kukandamiza wananchi wao.
Wako wengi tu, kuna watanzania wengi sana huko arabuni wanapiga kazi na kulisha family zao huku
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni rahisi mbongo kufungua duka Dubai,kuliko mbongo kufungua hata saloon,New York,Hawana namna za kuingia USA. Kila mtu ndoto yake ni kutua kiwanja huko kwingine ni last resort.
USA wanajua kuibrand nchi yao na ndio maana mabaya yao ya mauaji hasa ya ubaguzi wa rangi na magenge ya kiuhalifu hawaya semi,unaweza ukakuta wanao kufa ni wengi kuliko wanao kufa Iraq au Libya au Syria ila ndio hivyo upande wa branding yupo vizuri.USA sio sehemu salama kuishi,idadi ya mauaji tu,karibu waizidi Syria kea mwaka wakati Syria iko vitani Sasa je marekani ikiwa vitani SI wataisha?
Marekani Ina idadi kubwa ya watu magerezani kuliko nchi yeyote duniani,
Kodi za manyanyaso Ni nyingi😃😃,yaani hata ufungue genge la kuuza nyanya ,pilipili hoho lazima ulipie mapato,,,Kama wewe tusene Ni bilionea inatakiwa utoe sehemu ya pesa kwa jamii na ukifa bill kutoa,serikali inataifisha Mali,
Hakunaga ujirani mwema,yaani kila mtu kivyake,,watu Wana stress wanajinyonga ovyo na mtu akiboeka tu,anachukua bunduki na kwenda kuchapa risasi watu,
Ni rahisi mbongo kufungua duka Dubai,kuliko mbongo kufungua hata saloon,New York,
Ina maana ukiwa UAE,unaweza kupiga pesa kuliko ukiwa USA
Land of the FREE, home of the BRAVE....
Umemaliza kila kitu,na atakaepinga na huu ukweli wako anachuki na wewe pamoja na Marekani.Haya yote mnasema lakini USA ndiyo taifa inayoongoza kwa kua na watu wengi wa mataifa mbalimbali ulimwenguni na wanaishi kwa furaha sana wenda wafanye makosa au laa lakini wanasikilizwa kwa ubinadamu wao siyo kwa utaifa wao.
Nenda kwenye hayo mataifa mnayosema yanaonewa na USA uone wanavyoonea raia wa mataifa mengine.
Kuhusu suala la taifa kama taifa hapa tu Tanganyika tunawakandamiza taifa la Zanzibar kila kukicha kwa mwamvuli la muungano wa Tanzania.
Ukweli ni kua USA bado ni sehemu salama kwa binadamu yeyote kuishi kuliko huko Venezuela..Russia..China...Korea kaskazini...Tanzania..Kenya...Japan..Iran...Israel..Kidogo Uk inajua nini maana ya ubinadamu.
Kwa lugha moja USA bado itaendelea kuingoza dunia kwasababu katiba yao iliandaliwa na watu kwa mijadala mipana siyo hizo nchi zingine viongozi wanajifungia chumbani then wanatoka na kikaratasi ya kuanza kukandamiza wananchi wao.
Teh teh teh kweli mahaba na propaganda vimezidi uhalisia. Eeh embu tuwekee hapa hizo takwimu za watu wanaopigwa risasi Marekani na watu wanaokufa Syria kwa Vita kwa Mwaka.USA sio sehemu salama kuishi,idadi ya mauaji tu,karibu waizidi Syria kea mwaka wakati Syria iko vitani Sasa je marekani ikiwa vitani SI wataisha?
Marekani Ina idadi kubwa ya watu magerezani kuliko nchi yeyote duniani,
Kodi za manyanyaso Ni nyingi[emoji2][emoji2],yaani hata ufungue genge la kuuza nyanya ,pilipili hoho lazima ulipie mapato,,,Kama wewe tusene Ni bilionea inatakiwa utoe sehemu ya pesa kwa jamii na ukifa bill kutoa,serikali inataifisha Mali,
Hakunaga ujirani mwema,yaani kila mtu kivyake,,watu Wana stress wanajinyonga ovyo na mtu akiboeka tu,anachukua bunduki na kwenda kuchapa risasi watu,
Ngoja nikuwekee hi kwanza ukute unatafuna tafuna kiufupi Gaza Ni more safe kuliko USA.Teh teh teh kweli mahaba na propaganda vimezidi uhalisia. Eeh embu tuwekee hapa hizo takwimu za watu wanaopigwa risasi Marekani na watu wanaokufa Syria kwa Vita kwa Mwaka.
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
@Frank Wanjiru:Ngoja nikuwekee hi kwanza ukute unatafuna tafuna kiufupi Gaza Ni more safe kuliko USA.
View attachment 1453302
US Sio mahala salama pakuishi nandio maana hata katika mataifa yanayo ongoza kwauhalifu US halikosi kama linaongoza kwauhalifu usalama wake unatokea wapi ?Haya yote mnasema lakini USA ndiyo taifa inayoongoza kwa kua na watu wengi wa mataifa mbalimbali ulimwenguni na wanaishi kwa furaha sana wenda wafanye makosa au laa lakini wanasikilizwa kwa ubinadamu wao siyo kwa utaifa wao.
Nenda kwenye hayo mataifa mnayosema yanaonewa na USA uone wanavyoonea raia wa mataifa mengine.
Kuhusu suala la taifa kama taifa hapa tu Tanganyika tunawakandamiza taifa la Zanzibar kila kukicha kwa mwamvuli la muungano wa Tanzania.
Ukweli ni kua USA bado ni sehemu salama kwa binadamu yeyote kuishi kuliko huko Venezuela..Russia..China...Korea kaskazini...Tanzania..Kenya...Japan..Iran...Israel..Kidogo Uk inajua nini maana ya ubinadamu.
Kwa lugha moja USA bado itaendelea kuingoza dunia kwasababu katiba yao iliandaliwa na watu kwa mijadala mipana siyo hizo nchi zingine viongozi wanajifungia chumbani then wanatoka na kikaratasi ya kuanza kukandamiza wananchi wao.
Mkuu umemaliza kila kituUkweli mchungu:Wanaoichukia Marekani wanasababu zao kuu 2.
1.Udini, waislamu wanaiona US. ni pingamizi kwa ustawi wa uislamu ulimwenguni.
2.Economic & military power.
Ukiondoa hizo sababu mbili hapo juu basi yeyote anayeichukia US kwa sababu nyingine huyo ni bendera fuata upepo.
Kwa hakika nguvu aliyo nayo Mmarekani angekuwa nayo Mwarabu Wakristo duniani tungefutwa au kuishi kwa mashaka makuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenikumbusha vikaratasi vya jiwe kanisani ChatoHaya yote mnasema lakini USA ndiyo taifa inayoongoza kwa kua na watu wengi wa mataifa mbalimbali ulimwenguni na wanaishi kwa furaha sana wenda wafanye makosa au laa lakini wanasikilizwa kwa ubinadamu wao siyo kwa utaifa wao.
Nenda kwenye hayo mataifa mnayosema yanaonewa na USA uone wanavyoonea raia wa mataifa mengine.
Kuhusu suala la taifa kama taifa hapa tu Tanganyika tunawakandamiza taifa la Zanzibar kila kukicha kwa mwamvuli la muungano wa Tanzania.
Ukweli ni kua USA bado ni sehemu salama kwa binadamu yeyote kuishi kuliko huko Venezuela..Russia..China...Korea kaskazini...Tanzania..Kenya...Japan..Iran...Israel..Kidogo Uk inajua nini maana ya ubinadamu.
Kwa lugha moja USA bado itaendelea kuingoza dunia kwasababu katiba yao iliandaliwa na watu kwa mijadala mipana siyo hizo nchi zingine viongozi wanajifungia chumbani then wanatoka na kikaratasi ya kuanza kukandamiza wananchi wao.
Mi naon kheri marekani sababu kuna mchanganyiko wa watu ingawa racism bado ipo na afro americans pia wanakabiliwa kama sisi waafrica[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hizo Nguvu Alizonazo Hao Wasiokua Waislam wanaraha ipi yakuishi ?!
Angalia VENEZUELA waislam Wale ?!
Rudi Kawaangalie Zimbabwe Waislam wale ?!
Rudi Angalia Anavyowaambia Muowane Watu Wenye Jinsia moja kawaambia waislam tu ?!
angalia Vikwazo anavyomtwanga Navyo RUSSIA na UCHINA yale ninataifa Yakiislam ?!
US hachukiwi Kwasababu Ya UDINI Anachukiwa Kwasababu yauonevu wake uliojaa ulimwenguni sio kwamataifa Yakiislam tu ama Yawaislam Ila Mpaka Hayo Yanayojiita Yakisekyula Angalia Mataifa Mangapi Yasiokua Yakiislam Yanavyoteseka Ulimwenguni Sababu Ya US au NORTH KOREA niwaislam wale ?!
Tatizo lenu mmemezeshwa propaganda baadhi ya watu wameamua kufungamana na UCHINA na RUSSIA kwan UCHINA ama RUSSIA nimataifa Yakiislam yale ?!
Tafakari upya juu ya US kiongozi Unahisi kama Itatokea Sasa hv US akawa sio SUPER POWER unahisi litatawala taifa ambalo nila KIISLAM ?!
Ukweli Nikwamba US nipangimizi Kwaustawi Wayeyote ambae atakua Haendi Sawa na anavyotaka yeye wala Sio Ustawi wamataifa ya KIISLAM kwani SAUDIA QATAR UAE Zimefika pale zilipo kwaushirikiano wanani nakwamsaada wanani kama sio hao hao US ama QATAR SAUDI ARABIA na UAE Sio mataifa Yakiislam ?!
Kama nikikwazo kwamaslahi Ya Mataifa Yakiislam QUBA niwaislam VENEZUELA niwaislam ZIMBABWE niwaislam AFRIKA KUSINI ilokua Chini Yamandela Niwalikua Waislam UKRAINE ilikua Yawaislam ?!
Kama Utaamua Kwenda Kinyume namatakwa ama maslahi ya US hatakama UK atageukwa tu hatakama CANADA atageukwa tu US linapokuja SUALA lamaslahi yake hua haangalii kama mnadini sawa ama vp atakunyoosha tu
Nb:-sidhanii kama US nitaifa linalofungamana na mrengo fulani wakidini sidhaniii
Sent using My COVID-19