Huna hoja umezoea kudanganya wajinga
Huwezi kuwa mchambuzi ukishachagua upande
Hivi Iran umeweza hata Kurusha hata jiwe Marekani kama Ukraine ilivyoshambulia Moscow??
Kiongozi mkuu wa Iran anauwawa kama kuku alafu unaipa credit hiyo nchi dhidi ya Us
Chambua mada zingine unazoziwezaga