Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 14,138
- 33,525
Kipindi cha marehemu Mugabe alipoona utawala unazidi kuwa mgumu kwake alianza kuwafukuza makaburu na kuwakabidhi mshamba yao watu wake ili azidi kubaki madarakani.
Katika tawala nyingi mambo haya utokea sana ili mradi wajihokoe kitawala. Je, hapa Tanzania kwa huyu Samia unafikiri nini anacho taka kukifanya ambacho kama D9 kikashindwa na kukileta.
Tumeshaanza kuona maneno ya wa kata vichwa wakijiachia sasa na wengine kumuunga mkono