Anaweza asifanye yy, lakini wanawake walio ktk ukoo huo ulioolewa wakafanya kwa niaba yake na wakampa habari,hata kama ni nzuri au mbaya.
Wanawake ndio wenye maneno haya, utasikia " baba yake mtupu" au utasikia ni "mtoto gani" . Wakwe si ndio wanaoomba nywele za kwanza na vitovu vya wajukuu?
Makubwaaaa nywele na kitovu akavifanyie nini?
Mmmh kama vile ushirikina...Hayo ndio mambo ya wanawake, na yanafanyika sana kila siku huko mitaani. Tafuta wamama watu wazima wakueleze, mi mwanaume sijui. Ila yanafanyika.
Makubwaaaa nywele na kitovu akavifanyie nini?
Si bora huyo wamemwangali kucha mi mtoto wangu walimuangali kiboo chake
Mmmh imani nisizoziamini mie, hata sitaki kuyajua hayo...Hujawahi sikia msemo huu " huyu jamaa aliangukiwa na kitovu", wanawake mna mambo sana. Kwa hiyo Wamama huwa wanawahi kitovu kisiangukie kunako ..... Hizo ndio za wanawake, hata wewe walikuangalia kucha !!!!!
Nipo sana....
Nani katangulia, sijakuelewa...Bahati yako keshatangulia mbele ya haki vinginevyo angechunguzwa tu, hakuna ujanja hapo.
Nani katangulia, sijakuelewa...
Mama mkwe wako mtarajiwa.
Ha ha ha!walikuwa wanafananisha!
Nilichukia kweli tena mama mkwe nampekua kabisa ikabidi nihoji kulikoni mama mbona unamuagalia mwanangu kidudu chake? nae kwa kujichekesha ooooh namuona motto mweupe sana kama mwarabu sasa ukitaka kujua motto kama mweusi au mweupe mwangalie sehemu za siri au kwenye masikio.....sikumjibu ila nilimtukana kimoyo moyo PUMBAVUUUU!!!!!!!!!!!!
ilikugusa nn? Yawezekana ulichepka kidogo hvyo lazma wawe makin kwasababu hamchelew kuuza mbuz kwenye gunia