Unataka Mama janeth aende chato kwani una mpango gani na mumewe?Nimekuwa niangalia msafara na shughuli ya kumuaga Hayati John Pombe Joseph Magufuli tangu Dar es Salaam mpaka leo Dodoma...
Lazima apewe mkono wa pole toka kwa viongoz wa kimataifa!Nimekuwa niangalia msafara na shughuli ya kumuaga Hayati John Pombe Joseph Magufuli tangu Dar es Salaam mpaka leo Dodoma...
Wasingeweza kwenda toa hizo pole kwenye mazishi chato?Lzm apewe mkono wa pole toka kwa viongoz wa kimataifa !!
Sasa utamlazimisha cyril.ramaposa aende chato je kama ana limited time tableWasingeweza kwenda toa hizo pole kwenye mazishi chato?
Tofauti ni nini? Kama hiyo ingekuwa ndio ratiba inavyotaka na yeye kaamua kwa moyo wake kuhudhuria, angekwenda.Sasa utamlazimisha cyril.ramaposa aende chato je kama ana limited time table