Kwanini Makonda hakumuita Askofu Pengo?

Hii biashara imejichimbia sana,katika ya waliotajwa usikute ni kweli wanafanya tatizo ushahidi sasa,lakini pia usikute sio kweli labda ni mambo ya siasa,
tena huyo pengo mnaemtetea ukakuta ndo druglord mzuri tu,

hii biashara ndo ilimwua pope John paul wa kwanza,
baada ya kuapishwa tu akagundua madudu ndani ya benki ya vatican ,ndani ya siku 33 tangu aapishwe wakamwekea sumu kwenye chakula akafa,
so kuwa cardinal sio kwamba amekua mungu
 
Kutajwatajwa tu? Ni wengi ambao Makon hakuwaita kwa style yake ile...labda kwa obvious reasons. Wengine ndo wamemfikisha hapo na wengine wanampa pumziko once in a while baada ya kazi nzito za kuliendedha Jiji
 
Conspiracy theories sizizothibitishwa!!
 
Inji ingekuwa vipandevipande hii
 
Hata mimi nitauliza kwanini wewe hukuitwa?
NA KILA MTU AKITUHUMIWA NANI ATAKUWA RAIA, NANI ATAKUWA POLISI, NANI ATAKUWA ASKARI MAGEREZA.
HII SINEMA YA MAKAONDAKTA NI SENEMA YA KIHINDI-STERINGI ANAFIA KWENYE MABUA HALAFU ANAIBUKA AKICHEZA KUCHI KUCHI HONTAHE
 
Kwanza Mjue kabisa Roman Catholic ni kanisa kubwa sana...wamewahi kutawala Dunia wale Roman empire...huwezi kucheza na kanisa hilo ambalo limesambaa Duniani...likiwa na miradi Mingi mikubwa na nguvu kubwa ya ushawishi na taasisi zenye nguvu sana si mchezo...sasa huwezi kabisa kufikiria tena nchi kama hii inaweza kufanya mambo ya ajabu kwa kanisa hilo...
 
mzee wa upako anasema hata yeye aliwahi kuhisiwa anafanya biashara ya madawa lakini baada ya uchunguzi wakamwacha mbona hawakumwita pengo mwenyewe alisema aliwahi kupakaziwa ishu ya madawa ya kulevya inawezekana uchunguzi ulishafanyika wakamkuta hana hatia ndio maana hakuitwa
 
Ma askofu wa kilokole na mashekhe ndo hupenda kuonewa sana bila kujali utu wao, ila naona kuna dhehebu huwa haliguswi ukilitaja tu wafwaaa.
Mbna Pengo alishawahi kutajwa ila akawapuuza tu!! acheni uchokozi jamani
 
Inawezekana...
 
Nenda kamfuate pengo umuulize kwanini hajaitwa!! Acha ujinga, kwanza manji anatakiwa atiwe adabu akitoka akili yake ikae sawa! Mjinga Sana'a manji!!!!!
 
kwa nn hukutajwa ww, kunaharufu ya mtu kuwa punda hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…