Kwa hiyo hiyo Yohana Mt 7 uliyoiweka hapo ndio inasema kuwa Yesu ni mtume?Tatizo umebebewa dini....
YOHANA MT. 7
16 Hapo Yesu akawajibu, “Mafundisho ninayofundisha si yangu, bali ni yake yeye aliyenituma. 17 Mtu anayependa kufanya yale anayotaka Mungu, atajua kama mafundisho yangu yametoka kwa Mungu, au mimi najisemea tu mwenyewe. 18 Yeye anayejisemea tu mwenyewe anatafuta sifa yake mwenyewe; lakini anayetafuta sifa ya yule aliyemtuma, huyo ni mwaminifu, na ndani yake hamna uovu wowote.
Muslims don't believe in the Lordship of Jesus Christ. They go far claiming that he even didn't die on the cross.Wakuu, heshima kwenu!
Ukifuatilia hafla nyingi za awamu hii ya 5, viongozi wamejijengea tabia ya kuanza hotuba zao kwa kutoa salamu kuu za kidini kama "Asalaam Aleiykum", " Tumsifu Yesu Kristo", "Bwana Yesu Asifiwe" nk
Imekuwa hivi sana kwa Mh. Rais Magufuli, Waziri Mkuu na pia kwa mawaziri na viongozi wengi wa juu.
Lakini hali ni tofauti kwa Makamu wa Rais, mama Samia. Ukifuatilia ufunguzi wa hotuba zake, huishia tu kusema "Asalaam Aleykum". Hasemi zile salamu nyingine za Wakristo.
Hii inajenga picha gani, wakuu?
Wapagani salaam yao ni ipi?Tuna dini za imani nyingi sana ikiwepo wapagani, ukiamua kutoa salam kwa kuzingatia dini au imani flani, fanya hivyo kwa imani zote kitu ambacho hakiwezekani.
Ingekua amri yangu salam za dini au zenye kuashiria imani flani zisingekuwepo kabisa kwenye hafla za kiserikali, hasa kama tukio halina maudhui ya kiimani.
Hata hivyo hakuapa kulinda salam za kiimani.
Mtapata tabu wangapi? Hapa ni mimi na wewe, tayari nimekupa mstari wa kitabu chako yesu akisema wazi kuwa alitumwa na Mungu, kwa maneno hayo tu yesu ni mtume full stop.Kwa hiyo hiyo Yohana Mt 7 uliyoiweka hapo ndio inasema kuwa Yesu ni mtume?
Kwa staili hii Mtapata tabu sana.
Wapagani salaam yao ni ipi?
Salamu ni muhimu sanaMambo madogo sana hayo ni salamu gani inakuza uchumi iwe inatumika?
You've nailed it.Your reply has just summed up all my assumptions of you. You might be 'holding' a master's degree but be entirely shallow minded, as you are.
If at all the gauge of your qualifications is projected by what you write here always, then clearly you are of no difference with a Standard 7 drop out.
Ingeekuwa vizuri kama angekuwa analitamka hivyo hivyo kwa kiswahili.Asalamu alaykum ni salamu na maamkizi kwa maana ni amani iwe juu yenu, haijalishi anayesalimiwa ni muislamu au siyo, lakini tumsifu Yesu Kristo au Bwana Yesu asifiwe siyo maamkizi kwani hata Yesu mwenyewe aliwafundisha wanafunzi wake waseme amani iwe kwenu Mat. 10:12 na Yesu mwenyewe alisema amani iwe kwenu John 20:19-21. Hivyo kuombeana amani kwa anayetaka amani ndiyo salamu na maamkizi bora hususan kwenye jamii ya watu wa imani tofauti.
Kiingereza cha wapi hiki jamani? Eti members wenzanguWhy do you it is important in the political platform?
Kumbe ishu ni lugha? Pole. Basi muhimu hapo ni kwamba yesu alitumwa kuja kuleta ujumbe wa Mungu kama aliyosema mwenyewe. Tumia lugha utakayo. Asante.USILAZIMISHE MAMBO AISEE
Hahaha, naomba nirudie comment yangu hapa.
Wewe unasema "kila anayetumwa na Mwenyezi Mungu kuleta ujumbe anaitwa Mtume"... hiyo ni kwa mujibu wa kitabu gani?
Kama ni kwa mujibu wa Quran uko sahihi, na hayo ni mambo yenu...sisi wengine hatuyaingilii.
Ila Kwa mujibu wa Biblia, kila anayeleta ujumbe kutoka kwa Mungu HAITWI mtume.. ndio maana kuna Manabii kama Isaya, Hosea, Nahum, etc.. walileta ujumbe lakini HAWAKUWA MITUME na Biblia haijawaita Mitume, imewaita Manabii.
Na kuna mitume kama Paulo, Yohana etc walileta ujumbe, lakini hawaitwi Manabii, wanaitwa Mitume.
Sio lazima dini yako ifanane na ya mwingine na wala usifosi hilo. Wewe kaa na mtume Issa na tosheka hivyo.
Uko sahihi kabisa.Ingeekuwa vizuri kama angekuwa analitamka hivyo hivyo kwa kiswahili.
"Amani iwe juu yenu" ingeleta salamu za jumla kwa wanaomsikiliza, lakini akiingiza maneno ya kiharabu tayari inakuwa imegeuka salamu ya watu wenye imani fulani.
Wakuu, heshima kwenu!
Ukifuatilia hafla nyingi za awamu hii ya 5, viongozi wamejijengea tabia ya kuanza hotuba zao kwa kutoa salamu kuu za kidini kama "Asalaam Aleiykum", " Tumsifu Yesu Kristo", "Bwana Yesu Asifiwe" nk
Imekuwa hivi sana kwa Mh. Rais Magufuli, Waziri Mkuu na pia kwa mawaziri na viongozi wengi wa juu.
Lakini hali ni tofauti kwa Makamu wa Rais, mama Samia. Ukifuatilia ufunguzi wa hotuba zake, huishia tu kusema "Asalaam Aleykum". Hasemi zile salamu nyingine za Wakristo.
Hii inajenga picha gani, wakuu?
Mkapa kaingiaje hapa? We shule umeenda kweli? Au ndiyo walewale.Tafuta hotuba za hayati Mzee Mkapa, utagundua na yeye akishasema Assalam aleykum alikuwa hasema Bwana Yesu asifiwe wala tumsifu Yesu Kristo
LUGHA?Kumbe ishu ni lugha? Pole. Basi muhimu hapo ni kwamba yesu alitumwa kuja kuleta ujumbe wa Mungu kama aliyosema mwenyewe. Tumia lugha utakayo. Asante.
Hahahaha... Ndio maana nikakuuliza hiyo verse Yesu anasema yeye ni MTUME?Mtapata tabu wangapi? Hapa ni mimi na wewe, tayari nimekupa mstari wa kitabu chako yesu akisema wazi kuwa alitumwa na Mungu, kwa maneno hayo tu yesu ni mtume full stop.
Turudi kwenye hoja, "Bwana asifiwe" ni salamu??
Achana na mambo ya salamu utapoteza muda angalia mambo muhimu kwenye maisha salamu mambo ya kienyeji! Salamu ni salamu tu ata mambo vipSalamu ni muhimu sana