Kwanini majina ya mwisho/ukoo huwa maarufu sana kuliko majina ya mwanzo?

Heshima kwenu wana jf,

Jamani wajuzi naomba kujua
Hivi ni kwanini majina ya mwisho ya ukoo hutambulika au kuwa maarufu zaidi kuliko jina la kwanza?

Mfano Jakaya Mrisho Kikwete linalojulikana sana ni Kikwete?
John Pombe Magufuli jina maarufu ni Magufuli,
Julius Kambarage Nyerere jina maarufu ni Nyerere

Naomba kujua iko hii, wana jf naomba kujua
Nazani nimazoea tu kwani unaweza ukatumia jin la tatu kama la Babu siyo la ukooo lakini ikawa ndo wanaloliita watu zaidi alafu nyongeza
Asikwambie mtu like
Heshima kwenu wana jf,

Jamani wajuzi naomba kujua
Hivi ni kwanini majina ya mwisho ya ukoo hutambulika au kuwa maarufu zaidi kuliko jina la kwanza?

Mfano Jakaya Mrisho Kikwete linalojulikana sana ni Kikwete?
John Pombe Magufuli jina maarufu ni Magufuli,
Julius Kambarage Nyerere jina maarufu ni Nyerere

Naomba kujua iko hii, wana jf naomba kujua
Heshima kwenu wana jf,

Jamani wajuzi naomba kujua
Hivi ni kwanini majina ya mwisho ya ukoo hutambulika au kuwa maarufu zaidi kuliko jina la kwanza?

Mfano Jakaya Mrisho Kikwete linalojulikana sana ni Kikwete?
John Pombe Magufuli jina maarufu ni Magufuli,
Julius Kambarage Nyerere jina maarufu ni Nyerere

Naomba kujua iko hii, wana jf naomba kujua
Kwa mm naona mazoea tu kwani unaweza ukawa unatumia jin la tatu nilababu yako tu ila watu ndo wanalielewa balaa.
Nyongeza jmn kwa wasiolitumia jin la tatu
Kanakuwaga katamuuu mwenyewe kunamda nishasahau langu kabisa
 
Back
Top Bottom