Umenikumbusha kitabu kimoja nilikuwa nakisoma miezi michache iliyopita. Kinaitwa "The Human Predicament : A Candid Guide To Life's Biggest Questions" cha David Benatar. Nime attach PDF file hapo chini.Swali lako ni muhimu mkuu sema kwa upande wangu namaanisha ni kitu kisicho na faida bali hasara
Yani tungekua na chaguzi za kuzaliwa ungekuta dunia haina watu... Hakuna sababu ya kuzaliwa alafu tuishi maisha haya kwa mwenye kufikiri kwa undani
Hili dude linarecord mazungumzo siku ukirudi linaanzia mlipoishia 😄attribution ni muhimu😁
Warning, this book may trigger suicide ideation.
mkuu umewahi soma "The human condition" by Hannah Arendt?Umenikumbusha kitabu kimoja nilikuwa nakisoma miezi michache iliyopita. Kinaitwa "The Human Predicament : A Candid Guide To Life's Biggest Questions" cha David Benatar.
View attachment 3338238
Kitabu hiki kimeongelea mada hizi kwa utaalamu mkubwa na faksafa, nilikuwa nakisoma mpaka nataka kukiacha kwa maana kinaonesha maisha yalivyo mzigo tuliotwekwa bila kutaka ambao hata kuutua tunatakuwa tuutue bila kutaka.
Warning, this book may trigger suicide ideation.
Kwenye cover wameandika.
Are our lives meaningful, or meaningless? Is our inevitable death a bad thing? Would immortality be an improvement? Would it be better, all things considered, to hasten our deaths by suicide? Many people ask these big questions -- and some people are plagued by them. Surprisingly, analytic philosophers have said relatively little about these important questions about the meaning of life. When they have tackled the big questions, they have tended, like popular writers, to offer comforting, optimistic answers. The Human Predicament invites readers to take a clear-eyed and unfettered view of the human condition.
David Benatar here offers a substantial, but not unmitigated, pessimism about the central questions of human existence. He argues that while our lives can have some meaning, we are ultimately the insignificant beings that we fear we might be. He maintains that the quality of life, although less bad for some than for others, leaves much to be desired in even the best cases. Worse, death is generally not a solution; in fact, it exacerbates rather than mitigates our cosmic meaninglessness. While it can release us from suffering, it imposes another cost - annihilation. This state of affairs has nuanced implications for how we should think about many things, including immortality and suicide, and how we should think about the possibility of deeper meaning in our lives. Ultimately, this thoughtful, provocative, and deeply candid treatment of life's big questions will interest anyone who has contemplated why we are here, and what the answer means for how we should live.
Hapana mkuu, kinasemaje?mkuu umewahi soma "The human condition" by Hannah Arendt?
Ukweli kabisa,Swali lako ni muhimu mkuu sema kwa upande wangu namaanisha ni kitu kisicho na faida bali hasara
Yani tungekua na chaguzi za kuzaliwa ungekuta dunia haina watu... Hakuna sababu ya kuzaliwa alafu tuishi maisha haya kwa mwenye kufikiri kwa undani
Kwa maelezo machache ya hiki kitabu inaonekana serikali nyingi duniani hazitokubali kisambae sana sabababu bado nguvukazi ya watu inahitajika.Umenikumbusha kitabu kimoja nilikuwa nakisoma miezi michache iliyopita. Kinaitwa "The Human Predicament : A Candid Guide To Life's Biggest Questions" cha David Benatar.
View attachment 3338238
Kitabu hiki kimeongelea mada hizi kwa utaalamu mkubwa na faksafa, nilikuwa nakisoma mpaka nataka kukiacha kwa maana kinaonesha maisha yalivyo mzigo tuliotwekwa bila kutaka ambao hata kuutua tunatakuwa tuutue bila kutaka.
Warning, this book may trigger suicide ideation.
Kwenye cover wameandika.
Are our lives meaningful, or meaningless? Is our inevitable death a bad thing? Would immortality be an improvement? Would it be better, all things considered, to hasten our deaths by suicide? Many people ask these big questions -- and some people are plagued by them. Surprisingly, analytic philosophers have said relatively little about these important questions about the meaning of life. When they have tackled the big questions, they have tended, like popular writers, to offer comforting, optimistic answers. The Human Predicament invites readers to take a clear-eyed and unfettered view of the human condition.
David Benatar here offers a substantial, but not unmitigated, pessimism about the central questions of human existence. He argues that while our lives can have some meaning, we are ultimately the insignificant beings that we fear we might be. He maintains that the quality of life, although less bad for some than for others, leaves much to be desired in even the best cases. Worse, death is generally not a solution; in fact, it exacerbates rather than mitigates our cosmic meaninglessness. While it can release us from suffering, it imposes another cost - annihilation. This state of affairs has nuanced implications for how we should think about many things, including immortality and suicide, and how we should think about the possibility of deeper meaning in our lives. Ultimately, this thoughtful, provocative, and deeply candid treatment of life's big questions will interest anyone who has contemplated why we are here, and what the answer means for how we should live.
Binadamu hawezi kuwa na akili timamu kwa sababu ni mtumwa wa maisha bila ya maamuzi yake ,utaona akaza kupambana ila hajui anapambania nn ? Kiuhalisia kuzaa na maisha kwa ujumla ni upatu na utapeli mkubwa kuwahi kutokea.Umenikumbusha kitabu kimoja nilikuwa nakisoma miezi michache iliyopita. Kinaitwa "The Human Predicament : A Candid Guide To Life's Biggest Questions" cha David Benatar. Nime attach PDF file hapo chini.
View attachment 3338238
Kitabu hiki kimeongelea mada hizi kwa utaalamu mkubwa na falsafa, nilikuwa nakisoma mpaka nataka kukiacha kwa maana kinaonesha maisha yalivyo mzigo tuliotwekwa bila kutaka ambao hata kuutua tunatakuwa tuutue bila kutaka.
Warning, this book may trigger suicide ideation.
Kwenye cover wameandika.
Are our lives meaningful, or meaningless? Is our inevitable death a bad thing? Would immortality be an improvement? Would it be better, all things considered, to hasten our deaths by suicide? Many people ask these big questions -- and some people are plagued by them. Surprisingly, analytic philosophers have said relatively little about these important questions about the meaning of life. When they have tackled the big questions, they have tended, like popular writers, to offer comforting, optimistic answers. The Human Predicament invites readers to take a clear-eyed and unfettered view of the human condition.
David Benatar here offers a substantial, but not unmitigated, pessimism about the central questions of human existence. He argues that while our lives can have some meaning, we are ultimately the insignificant beings that we fear we might be. He maintains that the quality of life, although less bad for some than for others, leaves much to be desired in even the best cases. Worse, death is generally not a solution; in fact, it exacerbates rather than mitigates our cosmic meaninglessness. While it can release us from suffering, it imposes another cost - annihilation. This state of affairs has nuanced implications for how we should think about many things, including immortality and suicide, and how we should think about the possibility of deeper meaning in our lives. Ultimately, this thoughtful, provocative, and deeply candid treatment of life's big questions will interest anyone who has contemplated why we are here, and what the answer means for how we should live.
According to Hannah Ubatili hauji kwa sababu maisha hayana maana, bali kwa sababu hatuishi maisha yenye maana.Hapana mkuu, kinasemaje?
Utawaambia nini watu waelewe unachosema?Binadamu hawezi kuwa na akili timamu kwa sababu ni mtumwa wa maisha bila ya maamuzi yake ,utaona akaza kupambana ila hajui anapambania nn ? Kiuhalisia kuzaa na maisha kwa ujumla ni upatu na utapeli mkubwa kuwahi kutokea.
Baadhi ya wanafalsafa na great thinkers wa awali kabisa walichunguza wakaona kuishi ni utapeli ...
Hii ni siri kubwa hasa kuzaliana kama ukitambua ,watu wa zamani hata waafrika walitaka kuzaliana ili wafalme waendelee kupanua himaya zao ..Hao wafalme walikuwa mstari wa mbele kuhamasisha ; walioa wake wengi na kuzaa sana ili kuongea ukubwa wa tawala zao.Kwa maelezo machache ya hiki kitabu inaonekana serikali nyingi duniani hazitokubali kisambae sana sabababu bado nguvukazi ya watu inahitajika.
Mifumo inahitaji watu wajinga ili iendelee kuwepo ndio maana ukienda kwa wanasaikolojia wanakujaza maneno ya faraja lakini yale maswali magumu hawatoweza kuyajibu
Wakija kushtuka watu watakuja kushtakiwa ,mtu unamzaa bila ya ridhaa yake .Utawaambia nini watu waelewe unachosema?
Hii shida itaendelea
Acha niwe mtazamajiHii ni siri kubwa hasa kuzaliana kama ukitambua ,watu wa zamani hata waafrika walitaka kuzaliana ili wafalme waendelee kupanua himaya zao ..Hao wafalme walikuwa mstari wa mbele kuhamasisha ; walioa wake wengi na kuzaa sana ili kuongea ukubwa wa tawala zao.
Hii ni siri binadamu wamefumbwa bila ya kujijua ,siku zote binadamu anafurahi anapokuwa juu ya mwingine si kwa mali ,elimu ,madaraka ,wala idadi ya watoto..
Leo hii Musk anahamasisha watu wazaliane ili azidi kuongoza watu wengi ,anajihisi fahari kuwa tajiri mkubwa ...Hata leo utaona binadamu mafanikio yake hinafsi yanamtesa ;atataka kupost nyumba aliyojenga ,gari alilonunua ,mtoto aliyezaa mwenyewe ili kujionesha kwamba yuko juu ya wengine...
Maisha ni ubatili mtupu tena uthenge fulani.
Samahani mkuu, maisha yenye maana ni maisha yapi hayo?According to Hannah Ubatili hauji kwa sababu maisha hayana maana, bali kwa sababu hatuishi maisha yenye maana.
Lakini teknolojia imepunguza nguvu za serikali hizo.Kwa maelezo machache ya hiki kitabu inaonekana serikali nyingi duniani hazitokubali kisambae sana sabababu bado nguvukazi ya watu inahitajika.
Mifumo inahitaji watu wajinga ili iendelee kuwepo ndio maana ukienda kwa wanasaikolojia wanakujaza maneno ya faraja lakini yale maswali magumu hawatoweza kuyajibu
Inategemea maana maana yake ni nini.According to Hannah Ubatili hauji kwa sababu maisha hayana maana, bali kwa sababu hatuishi maisha yenye maana.
Ndiomaana papa aliefariki juzi hajaacha uzao wake si ndioNdio, ni ubatili mtupu.
Futuhii
Ukiwa mjinga utayafurahia ila ukiwa mwerevu na mwenye kuchunguza kwa mapana utajua ubatili wake kisha utateseka.
Ukitambua hili wakati hujapata watoto hatokubali kamwe kuleta watoto duniani. Kwa nini?
Kwasababu hamna maana yoyote umpate mtoto wako mpendwa kisha aje azunguke duara ulilozunguka alafu aishie
Uwe masikini au tajiri mkubwa mwenye hadi jeshi binafsi, utagundua maisha hayana maana kwa yeyote sababu utaishi kisha utaishia
Hakuna mwanadamu timamu atakaekubali kuzaa!
Ukiona mwenye hekima ambaye ana uzao wake katika dunia hii, basi elewa alipata uzao kabla hajaipata hekima au alitegeshewa.
Ubatili mtupu
Kumbe hana watoto? Heri yakeNdiomaana papa aliefariki juzi hajaacha uzao wake si ndio
Tafuta maana yako uishi nayoSamahani mkuu, maisha yenye maana ni maisha yapi hayo?
Kama yapo maisha yenye maana, je ni vitu gani ufanye au uvipitie au uvipate ili uwe na maisha yenye maana?
Inasemekana hivyoKumbe hana watoto? Heri yake