Mwezi wa kwanza alikuwa anataka apewa uwaziri mkuu.Alianza sera za kuwakumbatia na kuwanunua wzpinzani na kuwapa vyeo.
Kikwete hakuwa na upinzani wa hadharani ndani ya chama chake.Kwa nijuavyo hata wakati wa JK, upinzani hawakukubalina na mambo mengi tu.
Tofauti ya wakati uliopita na wakati wa JPM, wakati wa JPM mitandao ya kijamii ilikuwa na nguvu zaidi na wafuasi wengi.
Waliofuatilia siasa za wakati wa awamu ya nne, rais JK, alisemwa sana kwa ubaya. Na alitukanwa hadi hadharani; mkwere wa watu alichukulia sawa tu. Na wakati mwingine aliwajibu kwa mafumbo.
Ila msukuma hakuweza kukubaliana na ukosoaji wa hadharani au popote pale. Hii ndio tofauti hata kwa awamu hii ya sasa.
Kwenye siasa, viongozi wengi hawako tayari kukosolewa hata kama wanakosea!
Tena binafsi naona bora hata JPM, alijidhihirisha wazi kuliko hao wengine wanafanya kwa siri. Ama sivyo, mama asingehaingaika na suala la job ikiwa hakukuwa na ukweli wowote!
Ni maoni tu![emoji106]
Umesema ukweli mtupu 100%
Mungu akubariki.
Sasa hivi CCM imerudi ile tuliyoikataa awali.
Wamehalalisha tena wizi.
Ni kweli hakukuwa na upinzani wa hadharani.Kikwete hakuwa na upinzani wa hadharani ndani ya chama chake.
Magufuli hakuwahi kuwa mteule, aliruka vihunzi kivisasi.Wapinzani walikuwa na haki ya kumchukia Magufuli kutokana na mambo aliyowatenda. Lakini cha kushangaza upinzani mkubwa sana umeibuka kutoka katika kikundi kidogo ndani ya chama chake mimi nawaita wanufaika wa chama. Kukaibuka wakina KIGOGO 2014 hadi alipofariki uwanaharakati wao ukaisha. Mwanaharakati Kigogo amekaa kimya kwenye kesi ya Mbowe, hapa shida ya Kigogo sio mfumo bali ni Magufuli mwenyewe.
Chuki nyingine ikahamia kwa Bashiru.
Nikajiuliza wako wapinzani wengi waliohamia CCM na kupewa vyeo vikubwa lakini kwanini wamchukie Dr. Bashiru tu? Na kumzushia ameiba hela BOT kipindi cha maombolezo. Nikagundua tatizo Bashiru alikata mirija yao kwenye tume ya kukagua mali za Chama. Mimi nimepanga fremu za CCM nalipa kodi laki 1.5 lakini nasikia kodi ya halali inayoingia kwenye chama ni elfu 50 nyingine watu hula kwa urefu wa kamba. Wenyeviti wa CCM wilaya waligeuza miradi ya chama kuwa miradi yao binafsi na walikuwa wanalindana. Hii ilipelekea miradi mingi ya chama kufilisika mfano Tegeta Sekondari sasa imeuzwa kwa chuo kikuu Mzumbe. Bashiru alifichua yote hayo kwenye kamati yake na kamba za watu zikakatwa, wenye kamba hawakufurahishwa kabisa ila hawakuwa na lakufanya. Kwahiyo tatizo la Magufuli na Bashiru ndani ya CCM ni:
1. Kuwanyima vyeo wenye chama chao.
2. Kuwapa vyeo wakuja ndani ya chama.
3. Kukata mirija ya watu ndani ya chama.
Hayo mengine ya raisi mshamba, anateuwa wasukuma, dikteta na ya Bashiru kutoa hela BOT au alitaka kumchenga mama ili aweke rais mwingine ni uzushi tu uliosambazwa na watu wale wale kupitia akaunti ileile.
Watu wamerudi ulaji wao utarudi soon na akauti ile ya uwanaharakati KIGOGO imepotea na itaibuka tena tukipata rais mwingine mshamba mwenye msimamo.
Bado tuna safari ndefu Watanzania.
"Mungu ibariki Tanganyika"
Sawa uko sahihi kwa maandishi yako. Ila kiukweli Shule za CCM sasa hivi hazina maana.Wapinzani walikuwa na haki ya kumchukia Magufuli kutokana na mambo aliyowatenda. Lakini cha kushangaza upinzani mkubwa sana umeibuka kutoka katika kikundi kidogo ndani ya chama chake mimi nawaita wanufaika wa chama. Kukaibuka wakina KIGOGO 2014 hadi alipofariki uwanaharakati wao ukaisha. Mwanaharakati Kigogo amekaa kimya kwenye kesi ya Mbowe, hapa shida ya Kigogo sio mfumo bali ni Magufuli mwenyewe.
Chuki nyingine ikahamia kwa Bashiru.
Nikajiuliza wako wapinzani wengi waliohamia CCM na kupewa vyeo vikubwa lakini kwanini wamchukie Dr. Bashiru tu? Na kumzushia ameiba hela BOT kipindi cha maombolezo. Nikagundua tatizo Bashiru alikata mirija yao kwenye tume ya kukagua mali za Chama. Mimi nimepanga fremu za CCM nalipa kodi laki 1.5 lakini nasikia kodi ya halali inayoingia kwenye chama ni elfu 50 nyingine watu hula kwa urefu wa kamba. Wenyeviti wa CCM wilaya waligeuza miradi ya chama kuwa miradi yao binafsi na walikuwa wanalindana. Hii ilipelekea miradi mingi ya chama kufilisika mfano Tegeta Sekondari sasa imeuzwa kwa chuo kikuu Mzumbe. Bashiru alifichua yote hayo kwenye kamati yake na kamba za watu zikakatwa, wenye kamba hawakufurahishwa kabisa ila hawakuwa na lakufanya. Kwahiyo tatizo la Magufuli na Bashiru ndani ya CCM ni:
1. Kuwanyima vyeo wenye chama chao.
2. Kuwapa vyeo wakuja ndani ya chama.
3. Kukata mirija ya watu ndani ya chama.
Hayo mengine ya raisi mshamba, anateuwa wasukuma, dikteta na ya Bashiru kutoa hela BOT au alitaka kumchenga mama ili aweke rais mwingine ni uzushi tu uliosambazwa na watu wale wale kupitia akaunti ileile.
Watu wamerudi ulaji wao utarudi soon na akauti ile ya uwanaharakati KIGOGO imepotea na itaibuka tena tukipata rais mwingine mshamba mwenye msimamo.
Bado tuna safari ndefu Watanzania.
"Mungu ibariki Tanganyika"
Si wanasema CCM maamuzi yakitoka Dodoma inakuwa CCM moja makundi yote yamsapoti mgombea aliyeteuliwa?Magufuli hakuwahi kuwa mteule, aliruka vihunzi kivisasi. Kuenguliwa kwa Lowasa kulimpenyeza nec ilio asa na akapita kumkomoa Kikwete na BM. Hakushinda, alishindwa na yule mama wa Zanzibar. Muafaka ukampitisha. Kura za uraisi awamu zote mbili kama alishinda ni kwa magoli ya mkono.
[emoji123][emoji123] TIME HEALS ALL WOUNDSWapinzani walikuwa na haki ya kumchukia Magufuli kutokana na mambo aliyowatenda. Lakini cha kushangaza upinzani mkubwa sana umeibuka kutoka katika kikundi kidogo ndani ya chama chake mimi nawaita wanufaika wa chama. Kukaibuka wakina KIGOGO 2014 hadi alipofariki uwanaharakati wao ukaisha. Mwanaharakati Kigogo amekaa kimya kwenye kesi ya Mbowe, hapa shida ya Kigogo sio mfumo bali ni Magufuli mwenyewe.
Chuki nyingine ikahamia kwa Bashiru.
Nikajiuliza wako wapinzani wengi waliohamia CCM na kupewa vyeo vikubwa lakini kwanini wamchukie Dr. Bashiru tu? Na kumzushia ameiba hela BOT kipindi cha maombolezo. Nikagundua tatizo Bashiru alikata mirija yao kwenye tume ya kukagua mali za Chama. Mimi nimepanga fremu za CCM nalipa kodi laki 1.5 lakini nasikia kodi ya halali inayoingia kwenye chama ni elfu 50 nyingine watu hula kwa urefu wa kamba. Wenyeviti wa CCM wilaya waligeuza miradi ya chama kuwa miradi yao binafsi na walikuwa wanalindana. Hii ilipelekea miradi mingi ya chama kufilisika mfano Tegeta Sekondari sasa imeuzwa kwa chuo kikuu Mzumbe. Bashiru alifichua yote hayo kwenye kamati yake na kamba za watu zikakatwa, wenye kamba hawakufurahishwa kabisa ila hawakuwa na lakufanya. Kwahiyo tatizo la Magufuli na Bashiru ndani ya CCM ni:
1. Kuwanyima vyeo wenye chama chao.
2. Kuwapa vyeo wakuja ndani ya chama.
3. Kukata mirija ya watu ndani ya chama.
Hayo mengine ya raisi mshamba, anateuwa wasukuma, dikteta na ya Bashiru kutoa hela BOT au alitaka kumchenga mama ili aweke rais mwingine ni uzushi tu uliosambazwa na watu wale wale kupitia akaunti ileile.
Watu wamerudi ulaji wao utarudi soon na akauti ile ya uwanaharakati KIGOGO imepotea na itaibuka tena tukipata rais mwingine mshamba mwenye msimamo.
Bado tuna safari ndefu Watanzania.
"Mungu ibariki Tanganyika"
HUwezi kujua hata kama huyu wa sasa wanampenda maana hata hawa hawa wanaomponda wakati yuko hai walikuwa wanamsifu na kuabudu.Wapinzani walikuwa na haki ya kumchukia Magufuli kutokana na mambo aliyowatenda. Lakini cha kushangaza upinzani mkubwa sana umeibuka kutoka katika kikundi kidogo ndani ya chama chake mimi nawaita wanufaika wa chama. Kukaibuka wakina KIGOGO 2014 hadi alipofariki uwanaharakati wao ukaisha. Mwanaharakati Kigogo amekaa kimya kwenye kesi ya Mbowe, hapa shida ya Kigogo sio mfumo bali ni Magufuli mwenyewe.
Chuki nyingine ikahamia kwa Bashiru.
Nikajiuliza wako wapinzani wengi waliohamia CCM na kupewa vyeo vikubwa lakini kwanini wamchukie Dr. Bashiru tu? Na kumzushia ameiba hela BOT kipindi cha maombolezo. Nikagundua tatizo Bashiru alikata mirija yao kwenye tume ya kukagua mali za Chama. Mimi nimepanga fremu za CCM nalipa kodi laki 1.5 lakini nasikia kodi ya halali inayoingia kwenye chama ni elfu 50 nyingine watu hula kwa urefu wa kamba. Wenyeviti wa CCM wilaya waligeuza miradi ya chama kuwa miradi yao binafsi na walikuwa wanalindana. Hii ilipelekea miradi mingi ya chama kufilisika mfano Tegeta Sekondari sasa imeuzwa kwa chuo kikuu Mzumbe. Bashiru alifichua yote hayo kwenye kamati yake na kamba za watu zikakatwa, wenye kamba hawakufurahishwa kabisa ila hawakuwa na lakufanya. Kwahiyo tatizo la Magufuli na Bashiru ndani ya CCM ni:
1. Kuwanyima vyeo wenye chama chao.
2. Kuwapa vyeo wakuja ndani ya chama.
3. Kukata mirija ya watu ndani ya chama.
Hayo mengine ya raisi mshamba, anateuwa wasukuma, dikteta na ya Bashiru kutoa hela BOT au alitaka kumchenga mama ili aweke rais mwingine ni uzushi tu uliosambazwa na watu wale wale kupitia akaunti ileile.
Watu wamerudi ulaji wao utarudi soon na akauti ile ya uwanaharakati KIGOGO imepotea na itaibuka tena tukipata rais mwingine mshamba mwenye msimamo.
Bado tuna safari ndefu Watanzania.
"Mungu ibariki Tanganyika"
Sasa kundi lake litaenda wapi?!ccm ni genge la mafisi wanaotafutana.
JPM hakuwa na mizizi ya mafisi wenzake.
Akaanzisha makundi yake yaishi katikati ya mafisi.
We huoni SSH anawapeleka wanakostahili kuwepo??Sasa kundi lake litaenda wapi?!
ccm ni genge la mafisi wanaotafutana.