Eustow Jw
Member
- Jan 1, 2019
- 36
- 62
Mkuu unamaanisha rangi za vyakula zingine husalia ktk figo na ini?Mtu anakunywa energy nne kwa siku unategemea nini?
unakunywa kinywaji cha rangirangi unaenda kukojoa mkojo wa njano, hujiulizi zile rangirangi zimeenda wap?
Kwanini magonjwa ya figo yasiwe mengi.