Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Ndugu zangu,
Walianza ''The Economist'' baada ya kukamatwa Kabendera na sasa ''Financial Times'', wamewachoka au maadili ya taarifa zao hayaruhusu ile ''na mwandishi wetu''? Si Zitto wala Kabendera waliwahi kufikiri kuwa siku moja magezeti hayo yataanika taarifa zao wanazozitoa kwa siri.
Kuna la kujifunza, kwanini wanaopeleka hizo habari huko wasiwe wanatuma nakala serikalini? Wakati serikali inafanya mambo kwa wazi, mfano sakata la makininkia na hata suala la mimba za wanafunzi, kwanini wao wanapeleka taarifa kwa siri? Nia ni kumkwamisha nani?
Je, ukiisadia Barrick dhidi ya Watanzania unanufaika na nini? Je fedha za programu ya elimu ni kwa manufaa ya nani? Je huwa wanalipwa bei gani kufanikisha hili jambo dhidi ya nchi?
Je wengine wataendelea? Ni dhahiri wazungu wakishafanikiwa mambo yao ''wanakuvua nguo'' Financial Times wanajua fika hakuna jinsi ambavyo World Bank (WB) watauzuia mkopo huo kwenye sekta ya elimu au Barrick walijua fika kuwa vita ile wanaenda kushindwa na wote wakaamua kuwaanika ''vibaraka'' wao.
Hili ni funzo, kupambana na nchi yako hutafanikiwa bali utaishia kupata laana.