drphone
JF-Expert Member
- Sep 29, 2009
- 3,542
- 295
Sipo Mwanangu pale Faya Zama zile palikuwa panaitwa Mwembe Mawazo kulikuwa na kituo cha kwenda Bwagamoyo(sasa Bagamoyo) sasa kulikuwa kuna miembe miwili mikubwa sana na palikuwa ndio stand ya mabasi yakwenda huko bwagamoyo na sasa baada ya kuing'oa na kujenga Kituo cha Faya sasa panaitwa Faya.
Mungu akubariki.
ni kweli asante kwa kuwakilisha nimekupa thanks