Lekanjobe Kubinika
JF-Expert Member
- Dec 6, 2006
- 3,020
- 576
Asante, angalau wewe bra unafahamu maana ya eneo unaloishi, wengine wako wapi????? nimekugongea thanks kwa ujasiri wako
Mbona wewe husemi la kwako? Kitunda ni jina la mtu mmoja Mnyakyusa alikuwa anakaa sehemu za Ukonga kule kusini baada ya kustaafu uaskari Magereza Ukonga. Kulikuwa ni pori, kila aliyeenda kule alisema anaenda kwa Kitunda na likageuka jina la sehemu hiyo.