Kwanini madirisha ya choo hujengwa madogo?

Kwanini madirisha ya choo hujengwa madogo?

Kila siku najiuliza kwanini nyumba zinapojengwa madirisha ya chooni hujengwa madogo tena yanakuwa juu?

Je sababu ni nini ?

Karibuni kwa michango yenu.

Posted by: MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)

Naamini pia ya kuwa wewe ushatembea na kuingia ofisi tofauti tofauti, ulishajionea pia bila ya shaka kuna baadhi ya maeneo (katika ofisi hizo), vyoo havina madirisha, bali ni mitambo maalum ipo ya kudhibiti harufu, na haja zako kusafirishwa kwa umbali kidogo usioujua, na kiyoyozi kinakudanganya na dawa zenye harufu nzuri ya chooni humo, unajisahau kama upo chooni, ukahisi upo ofisini kwa mkurugenzi. Tembelea na huko, ili ukija siku nyengine utuulize, ni kwa nini kuko hivyo?! Na kuna jamaa kakujibu vizuri tu kuhusu choo cha shimo, bila shaka ulimuelewa.
Nawakilisha kwa Roho safi tu.
 
Last edited by a moderator:
Nakubaliana na aliyesema kuwa wamaogopa kupigwa chapo, lakini pia kupunguza gharama zisizo za msingi ukizingatia chooni unakaa kwa muda mfupi sana soo hamna haja ya dirisha kubwa. The larger the size the high the cost!
 
Hakuna haja ya kuweka dirisha dogo chooni kwa kisingizio cha faragha kwani mbona chumbani ni sehemu ya faragha kuliko chooni lakini mnaweka bonge la dirishaa
 
Chabo, chabo, chabo, tatizo sugu, hasa sisi wa mitaa ya uswazi. Napendekeza watangaza nia mingoni mwa sera zao na hili waliweke wazi, watalishughukiaje? Mtu anamucha wife kitandani usiku ankwenda kupiga chabo nyumba ya jirani!!!!!!!!!!
 
kwanini madirisha ya chooni yajengwe madogo wadau?

Mkuu kwanza choo matumizi yake ni ya faragha, dirisha likiwa kubwa ile nadharia ya ufaragha inatoweka kabisa, kumbuka faragha ya choo ni starehe ya binadamu wote matajiri na maskini.

Hapo tunazungumzia nyumba za kimjini mjini na vyoo vya kimjini mjini, turudi kijijini vyoo vya passport size, unaonaje ukiingia kwa huduma ndani ya hivyo vyoo?
 
Great Thinker (Philosopher) kawaida yake ni kuuliza maswali kama haya; Ni Kawaida Ukakuta Mwingine Kauliza.
1.Kwanini Tunapoingia Ndani Ya Nyumba Tunapitia Mlangoni?
2. Kwanini Tunajisaidia Haja Kubwa Tukiwa Tumechuchumaa?
3. Au Kwanini Choo Isijengwe Eneo Wazi Bila Kuta Ili Kila Mmoja Aonekane Wakat Anawajibika?

Hayo Yote Ni Maswali Ya Great Thinker.

Mwisho kabisa itakuwa kwa nini tuvae nguo, halafu kwa nini tunakufa?
 
Mkuu na hili la utaratibu na kanuni za afya huduma ya choo kinatakiwa kujengwa mbali na nyumba yako angalau mita 30, nadhani kijijini tunalizingatia hili, turudi mjini vyoo vyenu mbona mnalala navyo ndani??? Et mnaitaga selfcontainer
 
Baada ya kusoma majibu ya awachangiaji katika hii thread sasa najiona nimehitimu shahada ya choo
 
Kila siku najiuliza kwanini nyumba zinapojengwa madirisha ya chooni hujengwa madogo tena yanakuwa juu?

Je sababu ni nini ?

Karibuni kwa michango yenu.

Posted by: MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)

Khaa!! Kiongozi ndiyo wewe associate prof kweli??
 
Last edited by a moderator:
Kazi ya madirisha ni kuprovide ventilation na kuingiza mwanga. Size ya chumba ndio hudetermine ukubwa na idadi ya madirisha (proportionality). Kwa case ya choo kwanza ni chumba kidogo so unatarajiaje dirisha kubwa? Kuhusu kukaa juu inakua confortable zaidi kupata mwanga kutokea juu kuliko chini ambako miale ya mwanga itapunguza confortability ya mtumiaji.
 
Mbona Magereza yana madirisha madogo? Au kule self contained nyingi? Ni utaratibu tu. Chumba kidogo dirisha dogo
 
Mpododo wenyewe mkubwa alafu katundu kapo katikati halafu kadogo
 
Nauliza kitu nisaidie wadau ninarafiki yangu anamchumba wake yaani kamsomesha chuo ndo anamaliza mwaka huu mwezi wa saba.Jamaa alipeleka barua juzi lakini mama yake demu katoa nje hataki coz wakristo wote ila madhehebu tofauti na dingi yake demu haongei mama ndo last say. Halafu kinachoumiza zaidi wazazi wake wanajua jamaa kamsomesha mtoto wao. Chakushangaza walengwa wenyewe wanapendana.

Nyie ndo mnaitwa wavamizi
 
Back
Top Bottom