Am back again, leo nipo zangu home tu sijatoka coz shem lenu anaumwa sana na sijatoka kwa heshima yake nipo hapa nampetipeti mama la mama[emoji41]
Bila poteza muda twendeni kwa mada nmefanya researchs nyingi sana kuhusiana na hao viumbe tajwa hapo juu, wengi wao hawajtulia sana. Wanat*bwa sana.
Je hivi kuna logic yyte kuhusiana na sifa za hao wanawake na tabia zao???