Wanajamvi,
Tanga ni mkoa maarufu unaosifika kuwa na mabinti bora kwa tabia na mapenzi,je kuna ukweli wa jambo hili?
Hadi postgraduate wanazo.naishi huku ila c mzaliwa kwetu huko gesini., yan mnishushue tu lkn ndumba sana huku. Hapa majiran zangu kila mtu karoga mumewe mpk wananishauri ujinga na mie., tena kuna shoga angu mmoja huyo uwiiiiii kila ikiexpire anaenda kurenew., mume mshahara wote anampa mke. Tanga zaman cku hz hyo koz kila sehemu wanawake wamefuzu tena wana dip.,dgree na kuendelea
Tatizo wanaishi kwa kufikiri mauno na mahaba ya kitandani ndo kila kitu,,,,,,, maisha ni zaidi ya hayo
nasikia eti Tanga ndiko mapenzi yalipozaliwa...
kwan wewe ni mwanaume?
Wacha we...!...umewahi gombaniwa?
mie sitokei tanga. mabinti wa huko nakotokea wanakimbiwa...
Huoni aibu kukopi na kupesti thread iliyoanzishwa humu humu JF tena jukwaa hili hili tena wiki hii hii!!Habari yenu,naomba kushare kwa hili tafadhali.