Kwanini mabinti wa kitanga wanagombaniwa?

Kwanini mabinti wa kitanga wanagombaniwa?

Wanajamvi,

Tanga ni mkoa maarufu unaosifika kuwa na mabinti bora kwa tabia na mapenzi,je kuna ukweli wa jambo hili?

Siyo kweli, wewe tu, sana wanajua kufukiza papuchi yao kabla shughuli haijaanza swala hapa kwa mwanamke yoyote ni kujuwa kumhandle mwanamume
 
naishi huku ila c mzaliwa kwetu huko gesini., yan mnishushue tu lkn ndumba sana huku. Hapa majiran zangu kila mtu karoga mumewe mpk wananishauri ujinga na mie., tena kuna shoga angu mmoja huyo uwiiiiii kila ikiexpire anaenda kurenew., mume mshahara wote anampa mke. Tanga zaman cku hz hyo koz kila sehemu wanawake wamefuzu tena wana dip.,dgree na kuendelea
Hadi postgraduate wanazo.
 
Tatizo wanaishi kwa kufikiri mauno na mahaba ya kitandani ndo kila kitu,,,,,,, maisha ni zaidi ya hayo

You absolute right Cute!
Siwezi nikaoa mwanamke ambaye siyo mshauri wangu,ambaye hana focus kuhusu future ya watoto wetu eti nimuoe sababu anajua mauno kitandani!Kwanza sisi wanyakyusa wanawake kama hao tunawaona wanatu bore tu kitandani!

Mwanamke bora ni yule anayekewnda sambasamba na mme wake kwenye majukumu na hata mawazo!
 
Sijawahi kusikia, ndo leo nasikia kwako.
 
Sio ugombaniwa bali hugombaniwa ..kizungu hatujui hata kiswahili pia !
 
Tanga kubwa,nimesoma korogwe na lushoto sikuwahi kusikia mwanamke kagombaniwa
 
Back
Top Bottom