Kwanini mabinti wa kitanga wanagombaniwa?

Kwanini mabinti wa kitanga wanagombaniwa?

mmmh hata mimi ngoja nikae kimya, uvivu tabia ya mtu jamani msitusingizie
 
kila mwamba ngoma...ngozi huvutia kwakee!!acha kukaririi...
 
Ulikuwa zamani baba wasingekuwa wakiachika hv AMA waumezao kuoa Nyumba ndogo kla uchao why...kwann?Kama unakumbuka rekodi ya hv karibuni ilisema tanga inaongoza kwa talaka AMA wanamume kuoa wanawake zaid ya mmoja why???? Kama wanayajua kunahaja gan yamchepuko?????think big think twice mwanangu. Mapenz Ni Damu kat ya wawili znazoshabiana...nafs zinazoshiban
 
Chema chajiuza Kibaya chajitembeza. Wanafundishwa vizuri namna ya kuishi na mwanaume
 
Wanagombewa na nani na wapi?Bandiko lako halijajitosheleza maana mm binafsi ndiyo kwanza nasikia kwako!Ni vyema ungeandika mbona mabinti wa ki-Tanga wanagombewa sehemu flani wana nn?

Sijawahi kuwagombea so usi tu generalize bana!

kutowagombea wewe haimaanishi kwamba haya watu wengine hawawagombanii, msitu utabaki msitu tu, kukatwa kwa mti mmoja hakuwezi kubadili jina la msitu.
Ugonile.
 
Huko tanga sijawahi kufika kabisa............................
But hapa nilipo wanawake wa kitanga ni wengi na wamekuja rasmi kwa ajili ya kujiuza!!!!!!! na wengi wao wameachika na wngine ni mabinti kabisa......
Sasa huwa najiuliza hao watanga wanaujua mapenzi kiasi hicho kwa nn waachike na kujiuza kwa amahela kdg????????????
 
kutowagombea wewe haimaanishi kwamba haya watu wengine hawawagombanii, msitu utabaki msitu tu, kukatwa kwa mti mmoja hakuwezi kubadili jina la msitu.
Ugonile.

Ndipo kikolo!
Hao wanao wagombania kwa wingi mabinti wa ki Tanga ni akina nani?
 
Huko tanga sijawahi kufika kabisa............................
But hapa nilipo wanawake wa kitanga ni wengi na wamekuja rasmi kwa ajili ya kujiuza!!!!!!! na wengi wao wameachika na wngine ni mabinti kabisa......
Sasa huwa najiuliza hao watanga wanaujua mapenzi kiasi hicho kwa nn waachike na kujiuza kwa amahela kdg????????????

Nawajua jamaa zangu 4 walioa Tanga na kati yao 3 waliwaacha WAKE zao!Sasa kama wanajua sana mapenzi hawa mabinti wa ki Tanga mbona wanaachwa easily?
 
Wamejaa maji tu, hawana cha maana.

Wagosi wenyewe (bolts) tunaona nuts (wana mama) wetu hamna maji wa chochote, ila huenda wewe ni kibamia hivyo lazima uelee kwa mali za wagosi kama huzami kabisa?
 
Back
Top Bottom