Ukiona mazao yanapendeza ujue mbolea ipo ya kutosha
we jamaa umenickesha aiseesahivi hata mabinti wa kichaga wanatamba, michezo yote wanacheza
wachaga kumbe nao wameamka siomsambaa kwa kazi wapo vizuri. Ni wachapa kazi sana kwakweliMkuu hebu tupe darasa kidogo!
Tofauti ya mapenzi na mahaba ni i(zi)pi?
Halafu kusema ule ukweli tofauti ipo bana kati ya wanawake wa Tanga na wale mkoa wa Pwani yaani Wazaramo!
Tofauti ipo kidogo! Hawa kidogo Kama wana ka over confidence flani na mambo ya ngomani!
Halafu wa Tanga wanapiga kazi Hata Jembe wanajua kulima mfano wazigua, Wasambaa na wabondei!
Tanga wavivu ni Wadigo tu!
Kama umefumba macho UTAONAJE?Mbona nko Tanga lakin sioni?
Halafu ukitoka nyumban njiani unanukia kama pilauMapenzi motomoto, maji yenyewe ya kuoga yanawekea iliki unafikiri mchezo
Ondoa sakayo hapo wewe
Utakuwa mtanga weweWanawake wa kitanga uzuri wao wamejaliwa kuweza kuwa na sifa zenye uwiano sawia Kwa vile vigezo vya wastani ambavyo wanaume wengi hupenda mwanamke awe navyo!
Miongoni mwa vigezo hivyo ni pamoja na ufundi ktk 6*6 , mapishi mazuri ya vyakula vyenye radha nzuri, kauli njema, adabu, kujua kumstahi mwanaume, heshima, ukaribu Kwa wageni/ndugu wa Mume , wanawake wa kitanga hawanaga choyo!
Ukija Kwenye usafi vivyo hivyo mashallah wako vizuri!
Mavazi ya heshima ndo usiseme!
Mwanaume utake nini tena?!
Uaminifu pia wanao Kwenye mahusiano Kwa wastani siyo Kama wengine mfano wamakonde na wale wapenda ngoma kila mara !
Utakuwa mtanga wewe
Watanga ni malaya sana hata wakiwa ndoani.
Ukioa tanga sahau maendeleo


siyo wote jamani!