Kabsa sifa ya mapishi, usafi,staha na ktk mavaz wanazo bila kusahau wanajua wajibu wao 6*6'Wanawake wa kitanga uzuri wao wamejaliwa kuweza kuwa na sifa zenye uwiano sawia Kwa vile vigezo vya wastani ambavyo wanaume wengi hupenda mwanamke awe navyo!
Miongoni mwa vigezo hivyo ni pamoja na ufundi ktk 6*6 , mapishi mazuri ya vyakula vyenye radha nzuri, kauli njema, adabu, kujua kumstahi mwanaume, heshima, ukaribu Kwa wageni/ndugu wa Mume , wanawake wa kitanga hawanaga choyo!
Ukija Kwenye usafi vivyo hivyo mashallah wako vizuri!
Mavazi ya heshima ndo usiseme!
Mwanaume utake nini tena?!
Uaminifu pia wanao Kwenye mahusiano Kwa wastani siyo Kama wengine mfano wamakonde na wale wapenda ngoma kila mara !
Angeandika bango lake pm ningemuuliza pm..punguza shoboIli iweje?nenda pm yake afu utuleteee mrejeshoo
Sanaaaaasahivi hata mabinti wa kichaga wanatamba, michezo yote wanacheza
Mie siku hizi nimehama hukoo!! Niko huku namtumbo
du!bi mkubwa, Tanga, mke wa pili Tanga, wa tatu pia Tanga na michepuko minne toka hukohuko..hapo lazma kende zifanane na za mbuzi
Wengi wanaishia kugombaniwa kama asemavyo mleta mada...Wanalugha tamu ya kimahaba,wakarimu,wapenda usafi,hodari katika upishi.
Subiri kitandani sasa Sauti ka'yamtoto mchanga.
Tanga raha,
Mabinti wa mejaa,
kila kona wamezagaa.
Wanajua kumjali mwanaume nyie wengine huwa mmeridhika sana mwanaume unamuona kama kaka yako!!Ni mentality tu imejengeka kwenye vichwa vya watu kwamba mabinti wa kutokea Tanga wanaujuzi mkubwa sana kwenye masuala ya mapenzi na mahaba...
Kawaida sana...
Cc: mahondaw
Wanapenda kuolewa Kama nini
Mtanga na mzaramo wanafanana sana.Nijuavyo Mimi Kwa uzoefu wangu binafsi mwanaume anatarajia mambo makubwa matatu toka Kwa mkewe;
1. Kwenye mambo ya 6* 6 yaende vizuri bila vikwazo
2. Apikiwe Chakula kizuri Kwa wakati na usafi
3. Kauli njema na heshima toka Kwa Mkewe
Na mengineyo Sasa yatafuata!
IQ zao kwenye masuala ya siasa,elimu,uchumi na jamii ndio kimbembe.Mtanga na mzaramo wanafanana sana.
Wanafunzwa mahaba sio mapenzi..mjue kutofautisha!
Ndio maana anawaweka kiganjani wanaume hata sita kwa wakati mmoja na hawagundui!