HAYA YOTE MI SIPATI.. HILI LANGU LIKOJE?
[emoji14][emoji14][emoji14]!
Stahamili @ Kaka!
Halafu inategemea pia nawewe ukoje?
Tabia na mwenendo wako Je ni kuaminika kwake?!
Hali hiyo yaweza sababishwa na mambo kadha wa kadha!
Mfano amekuzwa na kulelewa ktk mazingira gani!
Kwa hiyo siwezi kuwa na Jibu la moja Kwa moja ktk hilo!
However kumbuka kuwa wakati mwingine Kwenye decision making/conclusion huwa tunatumia weighted average !
Kwa hiyo tunaposema wanawake wa kitanga wako vizuri ktk Yake mambo wanaume hupenda tunapaswa kuzingatia wastani na siyo absolutely 100% ya wanawake wa Tanga kuwa wako hivyo!
Wachache baadhi Yao wanaweza wasiwe hivyo, Kama huyo wako sasa!
Ila siku jaribu kutoka nae kisha jaribu kuongea nae Kama utani mwambie Mbona imekuwa ikisemekana Hivi Juu ya ke wa Tanga kuwa wako Hivi na vile lakini Wewe Mbona wakati mwingine sikuelewi?
Hata kama atahamaki usijali mwambie ni utani tu Ila Kama anaakili atafanyia kazi na kuimprove!
Ila ba Wewe ujihoji usiwe mkali kwake na Hata kumpiga au kumgombeza mbele Za watoto unamuondelea kujiamini na uhuru kwako!
Halafu muwe mnahudhuria semina Za ndoa pamoja!