Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 17,589
- 28,571
Naenda Tanga kesho.![]()
Jamani hivi Tanga kunani?
Toka nimekua na kubalehe nasikia tu kuwa ukipata mwanamke wa kitanga haujinasui na wengine wanasema eti mwanaume ukienda Tanga hauwezi rudi siku hiyo hiyo lazima ulale.
Najiuliza hivi mabinti wa kitanga wana nini ?
Huku mtaani kwetu wanagombaniwa kama njungu.
Tufahamisheni jamani wanaojua
Mkuu nipe dira niende mtaa wa ngapi?