Kwanini mabinti kutoka familia tajiri au zenye uwezo kifedha hawafanyi challenge za kutingisha makalio mitandaoni?

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
12,127
Reaction score
33,510
Musiki ni therapy, burudani na njia ya kufikisha ujumbe kwenye jamii. Kuna namna nyingi za kufurahia mziki. Miaka ya karibuni imeibuka hii trend ya mabinti na wanawake kutuma video fupi za kucheza mziki wakitingisha makalio wakiwa wamegeuzia mgongo kamera.

Tunaweza tukasema ni burudani tu, lakini jiulize kwanini mabinti wanaotoka kwenye familia za kitajiri au zenye uwezo kifedha hawafanyi burudani ya namna hiyo. Ushawahi kumwona binti wa kutoka kwenye familia tajiri akifanya hivyo? bila shaka hapana. Mara zote huwa ni mabinti wa kutoka familia duni kiuchumi.

Mabinti waliolelewa kwenye familia tajiri au zenye uwezo kifedha ni ngumu sana kuwaona wakijihusisha na hivi vitendo hii ni kwa sababu wanatoka kwenye familia zenye principles na status hivyo lazima wachunge nyendo zao ili wasidhalilishe familia, vilevile mabinti hawa hawana financial desperation.

It's typically daughters from broke or low income background who develop an entitlement mentality set unrealistic standards for men and post flashy or provocative content online in pursuit of attention, money and validation.

Umasikini unachangia kwa kiasi kikubwa hii tabia. Hawa mabinti wadogo wanatafuta njia rahisi na ya chapchap kuondokana na ugumu wa maisha. Bahati mbaya kitendo hiki kinatweza utu wao.

Mwanaume, fanya kazi kwa bidii utengeneze maisha yako uwe na familia imara. Pigana kufa na kupona kuondokana na umasikini ili siku moja usije ukamuona binti yako anafanya vitendo kama hivi mtandaoni

Unaweza ukaona ni burudani kuwaangalia mabinti wa wanaume wengine, lakini ikija zamu yako na ukaona binti yako ndie anafanya hivyo vitendo, maumivu utayopata ni makubwa sana. Pesa ikikosekana kwenye familia, mtoto wa kike kuidhalilisha familia ni dakika 0 tu.
 
Umeshawahi kuona binti kutoka kwenye familia za maisha bora akitembeza mabungo, kashata, embe ng'ong'o, ufuta au maandazi?
 
Mi naona ni malezi tu na jamii watu wanazotoka sidhani kama umasikini ndio unafanya watu watweze utu wao!
Wazazi tunawalaumu bure tu. Kusema kweli wanajitahidi kadili ya uwezo na kile wanachokijua. Hakuna mzazi mwenye nia mbaya na mtoto wake. Wapo wengi wanatoka mikoani na tabia nzuti tu wanakuja kualibikia mjini

Tatizo mabinti wa kisasa wana unrealistic expectations. Wanataka kuishi maisha ambayo hawana uwezo wa kumudu. Hapo sasa ndipo tiktok na ista zanakua platform za kutangaza biashara
 
Back
Top Bottom