Ni mfumo wao waliojiwekea kutoka kwa watungulizi wao hao rc ,haya makanisa mengine ni yakiprotestant msingi wake mkubwa kupingana na mafundisho potofu ya Roman Catholic ambayo ni unbiblical, ni Sawa na useme kwanini chadema viongozi wao wanakuwa wakali wakihutubia halaiki na ccm wanaongea kwa upole ,ukitumia akili yako majibu utayapata.