Sawa unachosema ila naona unaweza ukawa "popo au ndumila kuwili". Hujitambui wala hujui unachotetea katika nchi hii na huna mbele wala nyuma.
Chama amenunua kutoka mikononi mwa waliokuwa wanamiliki tangu mwaka jana, sahizi anatambulishwa na kunapata uzoefu ili uchaguzi wa ndani achukuwe usukani 2017/18.
EL anajulikana ni mwizi na wakubwa wako wanajua kuliko wewe. Wengi mlioko huko mmebaki kulilia mikate yenu, siku ziende. Mbowe anazidi kuwalamba akili zenu na maisha, mmebaki mnahaha tu mitandaoni, huku mkimtetea wakati amewauza na kuwafanya misukule.
Kumfundisha kuendesha gari mwenye gari, haina maana umekuwa tajiri zaidi yake. Subiri kipigo cha 2020 kwa kutanguliza huyu mwizi.