Kwanini Lowassa anawapoteza vijana CHADEMA?

Mkuu hao uliowataja umeona wapi wamenyimwa nafasi ya kukipigania chama kwa ngazi husika? Mbona Wenje tunaye katika ngazi ya Kanda na mchango wake unaonekana? Hata huko Musoma kwa Vicent mbona shughuli zake zinaendelea kama kawaida akiwa kama mwenyekiti wa Mkoa wa Mara ambao una majimbo matatu yenye Wabunge wa Chadema?
Unanitia mashaka sana na hoja zako sometimes
 
Mpaka kuwafunika wapigania chama kama wakina Mwalimu.

Mpaka kuwapoteza wakina Wenje wamekosa nguvu ya kupambana na kutetea wananchi.

Baada chadema impe cheo mtu kama Vincent Nyerere wao wanaangaika na mtu ambaye ana makando kando ya ufisadi.

Timu ya vijana kama Vincent Nyerere,Wenje,Kiwia wangeweza kujenga chama maana hawapo bungeni lakini sio Lowassa huyo ninayemjua.

Hivi toka lini Lowassa na &com aliowaacha ccm wameacha ufisadi?

Lowassa apumzike na yeye asiwe muongo na mtu wa kubadilika alituhaidi mwenyewe kuwa akishindwa uchaguzi ataenda kuchunga ngombe .

Sasa mtu ambaye anashindwa kutimiza tu ahadi ndogo kama hii anawezaje kuaminiwa kupewa nchi?..

Lazima tuambiane ukweli kuwa mtu kutopelekwa mahakamani sio kigezo cha kutokuwa fisadi.

Acha vijana wanaoaminika wafanye Kazi .
Mmh umenikumbusha ahadi ndogo ya kutoa "salary slip" akitoka chato!
 
Mkuu hao uliowataja umeona wapi wamenyimwa nafasi ya kukipigania chama kwa ngazi husika? Mbona Wenje tunaye katika ngazi ya Kanda na mchango wake unaonekana? Hata huko Musoma kwa Vicent mbona shughuli zake zinaendelea kama kawaida akiwa kama mwenyekiti wa Mkoa wa Mara ambao una majimbo matatu yenye Wabunge wa Chadema?
Unanitia mashaka sana na hoja zako sometimes
Hoja yake ipo wazi sana.......Lowasa ni fisadi hafai. Kumbukumbu zinaonesha hata wewe ulikuwa una mtazamo kama wake pindi EL akiwa CCM.

Alivyohamia CDM ukawa tambala lake la deki ukisafisha kwa kutumia JIK.
 
Mpaka kuwafunika wapigania chama kama wakina Mwalimu.

Mpaka kuwapoteza wakina Wenje wamekosa nguvu ya kupambana na kutetea wananchi.

Baada chadema impe cheo mtu kama Vincent Nyerere wao wanaangaika na mtu ambaye ana makando kando ya ufisadi.

Timu ya vijana kama Vincent Nyerere,Wenje,Kiwia wangeweza kujenga chama maana hawapo bungeni lakini sio Lowassa huyo ninayemjua.

Hivi toka lini Lowassa na &com aliowaacha ccm wameacha ufisadi?

Lowassa apumzike na yeye asiwe muongo na mtu wa kubadilika alituhaidi mwenyewe kuwa akishindwa uchaguzi ataenda kuchunga ngombe .

Sasa mtu ambaye anashindwa kutimiza tu ahadi ndogo kama hii anawezaje kuaminiwa kupewa nchi?..

Lazima tuambiane ukweli kuwa mtu kutopelekwa mahakamani sio kigezo cha kutokuwa fisadi.

Acha vijana wanaoaminika wafanye Kazi .
Ulishwahi sema unamchukia Lowassa binafsi hivyo hiki ulichoandika ni utumbo tu!!

Mwambieni mungu wenu aruhusu mikutano muone hiki msemacho kama kipo....

Unatia kinyaa sana bwanamdogo kwa undumilakuwili kama kiongozi wako mkuu wa chama aliyeharibu vijana.
 
Hoja yake ipo wazi sana.......Lowasa ni fisadi hafai. Kumbukumbu zinaonesha hata wewe ulikuwa una mtazamo kama wake pindi EL akiwa CCM.

Alivyohamia CDM ukawa tambala lake la deki ukisafisha kwa kutumia JIK.
mcubic naamini wewe una akili timamu tofauti na baadhi humu jamvini. Hivi binadamu tunatakiwa tuweje? Tuwe na misimamo ya aina fulani hata kama ukweli tumeshaujua eti kulinda kauli ya awali?
Binafsi siwezi kuukubali utumwa huo wa fikra, mtu nitamwita mwovu kwa habari nilizonazo leo lakini kesho nikiujua ukweli na kuuona wema wake nitabadili msimamo wangu bila woga. Vivyo hivyo kwa nimuonaye mwema leo. Kesho nikipata ushahidi kuwa Kadnari Rugambwa au Sheikh Zuberi kuwa ni waovu wa ufisadi sitasita kugeuza imani yangu kwao na kuwaita mafisadi hata kama leo nawaheshimu kuwa ni watu wema na wasafi.
Lowassa baada ya kutoka ccm alijieleza ukweli ambao hata hao ccm wameshindwa kuujibu na tumegundua kumbe ilikuwa siasa tuu
 
Ulishwahi sema unamchukia Lowassa binafsi hivyo hiki ulichoandika ni utumbo tu!!

Mwambieni mungu wenu aruhusu mikutano muone hiki msemacho kama kipo....

Unatia kinyaa sana bwanamdogo kwa undumilakuwili kama kiongozi wako mkuu wa chama aliyeharibu vijana.
Kiongozi wangu mkuu? Wapi uko ? Nani huyo?
 
Mnamlaumu mzee wa watu bure,nyumbu ni sawa tu na ng'ombe,so acha achunge nyumbu saiz kama alivyoahidi!
 
Umaarufu wa chadema umejengwa na mahubiri ya UFISADI WA LOWASA uliofanywa na kila kiongozi ama mgombea wakiwemo uliyo wataja pamoja na J Mnyika.

Wengi wao wameshindwa kujibadilisha na kuimba wimbo mpya wa Lowasa siyo fisadi. Wameamua kutia gundi midomoni mwao. Akina Myika, et al.

Ndiyo maana Dk Slaa aliamua kujiweka pembeni kwa kuwa hakutaka unafiki. Tujiulize Swali Dogo Tu: hivi lowasa angekuwa bado yupo ccm chadema wasingekuwa wakimuita fisadi?
 
Mnapoteza muda kubishana issues za Chadema. Muda utasema tu ....uzuri kila unachoandika JF ni kumbukumbu ....
 
Umaarufu wa chadema umejengwa na mahubiri ya UFISADI WA LOWASA uliofanywa na kila kiongozi ama mgombea wakiwemo uliyo wataja pamoja na J Mnyika.

Wengi wao wameshindwa kujibadilisha na kuimba wimbo mpya wa Lowasa siyo fisadi. Wameamua kutia gundi midomoni mwao. Akina Myika, et al.

Ndiyo maana Dk Slaa aliamua kujiweka pembeni kwa kuwa hakutaka unafiki. Tujiulize Swali Dogo Tu: hivi lowasa angekuwa bado yupo ccm chadema wasingekuwa wakimuita fisadi?
Awashangaa sana Mimi vijana sijui walipatwa na nini.....
 
Acha akili zako zakijan
Huwezi kukurupuka ukaanza kumjadili mtu ambaye hakuhusu, anaendelea kufanya kazi zake. Si mmefungua mahakama ya mafisadi? Mnasubiri nini, si mumpeleke mahakamani? Acheni unafiki. Toeni uhuru wa kisiasa muone hao mnaowaita nyumbu, wanywaviroba, watawafanya nini.
 
Hivi kutopelekwa mahakamani ni kigezo cha kutokuwa fisadi?.......
 
Ni kweli kabisa mkuu Technically hata ukishindwa kesi na kufungwa haina maana kama ulikuwa mhalifu ama kama umeshinda kesi haina maana kuwa wewe siyo mhalifu maana inawezekana kuwa ulishindwa kuwa na uwakilishi wa kisheria wa kutosha ama umekuwa na wakili nguli aliyeishinda kambi nyingine kisheria. Tatizo letu kubwa ni kuwa bendera kufuata upepo kaka, vijana ambao tunawategemea wawe watetezi wa wanyonge ati leo hii wanawatetea wezi ati sababu wamekihama chama cha wezi. Sijui kama tutafika kwa akili kama hii.
Au uko vizuri kwenye kufuta ushahidi!
 
Back
Top Bottom