Kwanini Lowassa anawapoteza vijana CHADEMA?

Kwanini Lowassa anawapoteza vijana CHADEMA?

Uzi kwa wingi ni NYUZI, ungeandika kuwa huwa unapenda kupitia NYUZI ZAKE
vijana wanatengeneza kiswahili chao, uwa badala ya huwa, ajapelekwa badala ya hajapelekwa na makosa mengi tu ya lugha yetu adhimu,nani kasababisha makosa haya labda matumizi ya vitabu vingi kwenye mitaala yetu.
 
Mtu amenunua chama kwa Pesa ndefu halafu unataka kumpangia maisha
 
We kajamaa kanafiki sana.

Hueleweki unasimamia nini, bora wakina mzee mwanakijiji tunaona wanachosimamia.

Huwa nakuchukulia kwa tahadhali sana.
Mnafiki ni mubaya sana bora hata wanaojitanabaisha kwa misimamo yao direct na sio kung'ata na kupuliza.
 
Mnafiki ni mubaya sana bora hata wanaojitanabaisha kwa misimamo yao direct na sio kung'ata na kupuliza.
Hili ni gamba lililomkimbia mwenyekiti wao, anatafuta njia ya kuingia CDM lakini anaona hakuna ulaji.
 
Mpaka kuwafunika wapigania chama kama wakina Mwalimu.

Mpaka kuwapoteza wakina Wenje wamekosa nguvu ya kupambana na kutetea wananchi.

Baada chadema impe cheo mtu kama Vincent Nyerere wao wanaangaika na mtu ambaye ana makando kando ya ufisadi.

Timu ya vijana kama Vincent Nyerere,Wenje,Kiwia wangeweza kujenga chama maana hawapo bungeni lakini sio Lowassa huyo ninayemjua.

Hivi toka lini Lowassa na &com aliowaacha ccm wameacha ufisadi?

Lowassa apumzike na yeye asiwe muongo na mtu wa kubadilika alituhaidi mwenyewe kuwa akishindwa uchaguzi ataenda kuchunga ngombe .

Sasa mtu ambaye anashindwa kutimiza tu ahadi ndogo kama hii anawezaje kuaminiwa kupewa nchi?..

Lazima tuambiane ukweli kuwa mtu kutopelekwa mahakamani sio kigezo cha kutokuwa fisadi.

Acha vijana wanaoaminika wafanye Kazi .
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] mkuu kitu ambacho uwa unanichang"anya sielewi we ni chama gani.watz tungekua kama ww tungekua mbali sana. We ni mkweli upendi unafki.
 
Kiongozi wangu mkuu? Wapi uko ? Nani huyo?
Zitto kabwe... Maana hivi vinyaa vya maji ya vuguvugu vipo huko... Kijana unatia kinyaa sana fikra zako...

Watu wamezibwa midomo kwa minyororo ya dola we unasema Lowassa ndo kawazuia? Kina Lema na Lissu vipi?

Utakua mlozi kwa chuki hizo binafsi ulizonazo kinyaa kabisa!!
 
Japo sina data kweli lowasa wanasema fisadi.lakinj kwa tanzania ni kiongozi gani hajasemwa kuwa fisadi tukianza na jpm mwenyewe ambaye anaishu ya meli mbovu,barabara chini ya kiwango,uuzaji nyumba za nhc kwa bei ya bure kabisa nk
 
Kwa nini hujomba nafasi ya uongozi kwenye kamati kuu ili upeleke ushauri wako huo maana Chadema ni wanachama siyo mtu mawazo yako hayo yapeleke ccm wakueleze alipo Membe
 
Acha unafiki mkuu, nilikuwa nakuona ni miongoni mwa GT kumbe bure kbs.
 
EL anaogopwa na ccm na chadema wenyewe....

kipindi kile chadema walimwita fisadi wakasema wana ushahidi lkn hawakumpeleka mahakamani

sasa hv ccm wanamwita fisadi lkn mpk sasa hawajampeleka mahakamani.

kuhusu suala la huyu mtu naona unafiki mkubwa to both Lumumba and Ufipa boys wote ni bendera vifuata upepo
 
Hivi kutopelekwa mahakamani ni kigezo cha kutokuwa fisadi?.......
Kwani kuna haja gani ya kuzungumzia Chadema wakati una chama chako ? Hebu kajenge chako. Suala la Lowassa liko wazi kwmba alifanyiwa zengwe tu na nsp maana watasema mengine lakini huwa hawasemi kwa ufisadi.

Kwa taarifa yako baba yako magufuli amezuia mikutano ya hadhara ni sababu ya Lowasa, kuficha binge ni sababu ya Lowasa.
 
Unaumia yanakuhusu? Kama si mwanachama utahukumuje? Kesi ya mbuzi haihukumiwi na fisi,unajifanya una huruma,wakati huruma uchwara tu huna lolote hujui hata Mungu ana baraza La wazee24? Na ww tumia brain acha uvivu wa kufikiria.
 
Sawa unachosema ila naona unaweza ukawa "popo au ndumila kuwili". Hujitambui wala hujui unachotetea katika nchi hii na huna mbele wala nyuma.

Chama amenunua kutoka mikononi mwa waliokuwa wanamiliki tangu mwaka jana, sahizi anatambulishwa na kunapata uzoefu ili uchaguzi wa ndani achukuwe usukani 2017/18.

EL anajulikana ni mwizi na wakubwa wako wanajua kuliko wewe. Wengi mlioko huko mmebaki kulilia mikate yenu, siku ziende. Mbowe anazidi kuwalamba akili zenu na maisha, mmebaki mnahaha tu mitandaoni, huku mkimtetea wakati amewauza na kuwafanya misukule.

Kumfundisha kuendesha gari mwenye gari, haina maana umekuwa tajiri zaidi yake. Subiri kipigo cha 2020 kwa kutanguliza huyu mwizi.
snaamin wazee kama kina lowasa wana ushawish mkubwa sana kisiasa,kila mtu ana umuhim wake kwe chama na umuhim wa vicent nyerere tofauti na umuhim wa mamvi...........hata ccm kinaendeshwa kwa busara za wazee
Mpaka kuwafunika wapigania chama kama wakina Mwalimu.

Mpaka kuwapoteza wakina Wenje wamekosa nguvu ya kupambana na kutetea wananchi.

Baada chadema impe cheo mtu kama Vincent Nyerere wao wanaangaika na mtu ambaye ana makando kando ya ufisadi.

Timu ya vijana kama Vincent Nyerere,Wenje,Kiwia wangeweza kujenga chama maana hawapo bungeni lakini sio Lowassa huyo ninayemjua.

Hivi toka lini Lowassa na &com aliowaacha ccm wameacha ufisadi?

Lowassa apumzike na yeye asiwe muongo na mtu wa kubadilika alituhaidi mwenyewe kuwa akishindwa uchaguzi ataenda kuchunga ngombe .

Sasa mtu ambaye anashindwa kutimiza tu ahadi ndogo kama hii anawezaje kuaminiwa kupewa nchi?..

Lazima tuambiane ukweli kuwa mtu kutopelekwa mahakamani sio kigezo cha kutokuwa fisadi.

Acha vijana wanaoaminika wafanye Kazi .
 
Kwani kuna haja gani ya kuzungumzia Chadema wakati una chama chako ? Hebu kajenge chako. Suala la Lowassa liko wazi kwmba alifanyiwa zengwe tu na nsp maana watasema mengine lakini huwa hawasemi kwa ufisadi.

Kwa taarifa yako baba yako magufuli amezuia mikutano ya hadhara ni sababu ya Lowasa, kuficha binge ni sababu ya Lowasa.
IMG-20160826-WA0005.jpg
13891892_899088143550673_8969728429604604396_n.jpg
 
Hili ni gamba lililomkimbia mwenyekiti wao, anatafuta njia ya kuingia CDM lakini anaona hakuna ulaji.
Bavicha tatizo lenu kutotaka watu waseme ukweli ccm tuiambie ukweli chadema no.
 
Zitto kabwe... Maana hivi vinyaa vya maji ya vuguvugu vipo huko... Kijana unatia kinyaa sana fikra zako...

Watu wamezibwa midomo kwa minyororo ya dola we unasema Lowassa ndo kawazuia? Kina Lema na Lissu vipi?

Utakua mlozi kwa chuki hizo binafsi ulizonazo kinyaa kabisa!!
Lowassa ndio anazunguka nchi nzima kujenga chama seriously ??
 
Mi uwa nashaanga eti kwanini ajapelekwa mahakamani.....

Kutopelekwa mahakamani sio kigezo pekee cha kukufanya uwe msafi........

Vijana wanaumia wanashindwa hata jinsi ya kutetea chama Kwa sababu ya mtu
Kumbe kigezo cha kuwa msafi ni kipi sasa? Vijana kushindwa kutetea chama ni kukosa stadi na uelewa wa mambo, tunaona vijana wenye uelewa wanajenga hoja kama kawaida. Wengine tunadhani serikali isiyompeleka mahakamani fisadi yenyewe ndio fisadi! Kwenye chama kila mtu ana faida zake kwa chama, lakini ni lazima ufahamu kuwa faida au umuhimu wa mwanachama ndani ya chama hutofautiana pia. Kwa mfano,binafsi nashindwa kuelewa hoja yako unapomlinganisha Lowassa na Vicent au Wenje. Kwamba nafasi ipi ya Lowassa apewe Wenje au Vicent? Kumchukia Lowassa kwa sababu ambazo leo ukiambiwa uzithibitishe huwezi ni kujipa mateso ya ndani wewe mwenyewe!
 
Mi uwa nashaanga eti kwanini ajapelekwa mahakamani.....

Kutopelekwa mahakamani sio kigezo pekee cha kukufanya uwe msafi........

Vijana wanaumia wanashindwa hata jinsi ya kutetea chama Kwa sababu ya mtu
Kwahiyo kigezo cha ufisadi Ni ww kuandika huku jamii forum
 
Back
Top Bottom