Kwanini Liwe gazeti la Msemakweli na Sio Annur

Malaria Sugu

JF-Expert Member
Jul 7, 2009
2,653
264
hhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
 
Last edited by a moderator:
Kwanini matangazo ya serekali hupewa magazaeti ya dini moja tu na mengine ya dini nyengine hunyimwa. kwa mfano ukiangalia msemakweli na mengine hujaa matangazo ya govt. lkn anuur, alhuda wao hunyimwa hata wakifuatilia? kUlikoni hapa

Hujatuambia kama waliomba na wakanyimwa! Wewe unadai tu wananyimwa! Na kama wananyimwa wameambiwaje? Remember, no data no right to speak!
 
Kwanini matangazo ya serekali hupewa magazaeti ya dini moja tu na mengine ya dini nyengine hunyimwa. kwa mfano ukiangalia msemakweli na mengine hujaa matangazo ya govt. lkn anuur, alhuda wao hunyimwa hata wakifuatilia? kUlikoni hapa
attachment.php
 
Attachments

  • unalo.JPG
    unalo.JPG
    94.7 KB · Views: 1,220
Mkuu buchana umempa jibu zuri, make hajatwambia kuwa waliomba wakanyimwa au vipi.Labda anafikiria wanletea nyumbani kwao.
 
Hawa watu kwa kulalamika kusikokuwa na msingi hawajambo! Huwa wanajiweka kwenye position ya kutaka kuonewa huruma kwa kila kitu! Kazi kuendekeza kucheza bao tu!
 
huyu jamaa post zake huwa za ajabu sana,
mara nyingi huwa nacheka sana nikiziona
 
Kuna siku mtakuja lalamika kwa nini wanaofanya usafi wa maliwato za public ni wa dini fulani tu na si nyingin
 
Biashara ni kuchangamka (to be active and aggressive) na sio umekaa kwako unategemea uletewe (passively).
Pili popularity ya newspaper yako je inajaribu kutotumia lugha mbaya kwa baadhi ya sects? Kwasababu Msemakweli wanaamini ktk kukosoa na kufundishana ktk lugha nzuri kunajenga zaidi kuliko kukashifu
Ni kweli mie Msemakweli ninawafahamu, Annur siwafahamu lakini naona mleta hoja angesema tumefuatilia na kuambiwa hivi ingekuwa na logic zaidi kuliko sasa
 
Umeona eeh! Haya makubwa

Mkiwaachia watakuja lalamika kwa nini wa dini fulani akitoa yeye tu ndio kunakua na harufu mbaya lakini wengine ni harufu ya marashi.Yaani kwa kweli hamna kitu inanikera siku hizi kama hii mijadala ya kidini.
 
Badala ya kujadili mambo ya msingi analeta udini. Mambo ya ajabu sana
 
Mkuu mzee a hoja. We don't shun your post simply because it sounds religious. It's too shallow to be discussed here and it's unfounded. Moreover mambo ya udini watu washayachoka JF,soma alama za nyakati mkuu!!
 
Huwa wanaomba Tenda na kunyimwa. Pia ukiangalia maonyo na vitisho vingi kutoka Serikalini huenda kwa Magazeti ya Waislam. Hii yote ndio ile ile mpe Mbwa jina baya ili upate sababu ya kumuua.
 
Bado ni hearsay, tuambie tenda ilitangazwa lini, biders walikuwa akina nani, sifa zilikuwaje, nani alikuwa na sifa na akanyimwa? Gazeti gani lilipewa vitisho, kwa nini lilipewa vitisho na baada ya vitisho lilichukua hatua gani! Usilete propaganda isiyokuwa na kichwa wala miguu. Unaleta chuki na uchochezi usiokuwa na msingi!
 
Huwa wanaomba Tenda na kunyimwa. Pia ukiangalia maonyo na vitisho vingi kutoka Serikalini huenda kwa Magazeti ya Waislam. Hii yote ndio ile ile mpe Mbwa jina baya ili upate sababu ya kumuua.

Mfumwa hanini urereha vindu tha kirundu? Acha kua na udini bana sio poa hata nini.Hapa mimi naona ishu ni hao mnaosema wananyimwa huwa kweli wanaomba na je tunataka wapewe tu kwa kuwa ni waislamu au?Udini utawapeleka pabaya
 
Nadhani labda ni kutooelewa, mimi nanavyojua tukitaka kutoa tangazo la serikali katika gazeti, huwa tunaandaa, then tunachagua magazeti tunayoyataka na kuwaomba watuletee profoma invoice, kisha ndio tunaamua nani wa kumpa kazi, so kiufupi tunachagua wenyewe nani wa kumpelekea kazi.
 
wakumbushe basi ndugu zangu wa huko serikalini kupunguza ukiritimba na njoo kesho njoo kesho
 
Kwanini matangazo ya serekali hupewa magazaeti ya dini moja tu na mengine ya dini nyengine hunyimwa. kwa mfano ukiangalia msemakweli na mengine hujaa matangazo ya govt. lkn anuur, alhuda wao hunyimwa hata wakifuatilia? kUlikoni hapa
kunamaofisa ndani ya serekali wanachanganya Dini na utendaji wao wa kazi, ndio maan hawataki kuwapatia magazeti ya Annur na Alhuda matangazo yao na hupeleka sadaka zao kwenye msema kweli kwa ktumia migongo ya watz
 
Kwanini matangazo ya serekali hupewa magazaeti ya dini moja tu na mengine ya dini nyengine hunyimwa. kwa mfano ukiangalia msemakweli na mengine hujaa matangazo ya govt. lkn anuur, alhuda wao hunyimwa hata wakifuatilia? kUlikoni hapa

Ha ha ha ha ha ha ha ha !!! Lete data ku-prove lalamoko lako mkuu!!! Pia mteja kuamua kupeleka tangazo lake katika gazeti huwa anachagua credible newspapers ambalo huwa linasomwa na wengi ili tangazo lile lipate fahamika kwa wengi. Pia anatizama substances za magazeti hayo, huwa lengo lake ni nini?? Je linaongelea mambo ya jamii au ni kuponda au pia kwa maana nyingine halipo objective?? Kama gazeti limesheheni story za uchochezi nani atapeleka kitu kule au kama linazungumzia tu tabaka fulani la watu ni nani atapeleka hata tangazo la kuua mende huko!!!???

Halafu isitoshe kama ni kweli, ninaamini hawa wenye mamlaka ya kutoa matangazo ya serikali si wakristo pekee bali hata waislam wapo!!! Je ni kwa nini hata hao Waislam wasipeleke tangazo kwa gaeti lao!!!! Ni hatari!!! Hata wenzao wanaona tangazo halitakuwa na inteded impact kama litapitia kwa Annur na alhuda!!! Majina yenyewe yanatabu kidogo, yana udini mno na serikali haina dini. Re-launch your products na change the name na muwe objective kwenye uandishi na wateja mtapata!!!! Take my advice!!!
 
jee kwanini yasinyimwe yote ya dini, na yakapewa yale republic je msemakweli lnasomwa na watu weng? nadhan imefika hatua tujibu hoja.
 
Back
Top Bottom