Kwanini Liwe gazeti la Msemakweli na Sio Annur

Kwanini Liwe gazeti la Msemakweli na Sio Annur

Serikali wanapotoa tangazo kwenye gazeti huwa wanataka liwafikie wananchi, so
Wanapotangaza na wewe huwa wanataka kujua unachapisha nakala za kuwezesha gazeti lako kusomwa na watu wengi?
Je gazeti lako linasomwa kweli mtaani?
Return yako ni asilimia ngapi?
Mwisho kabisa MKONO MTUPU haulambwi, na hawa ndugu zetu wana sifa hiyo.
 
Hawa watu kwa kulalamika kusikokuwa na msingi hawajambo! Huwa wanajiweka kwenye position ya kutaka kuonewa huruma kwa kila kitu! Kazi kuendekeza kucheza bao tu!
Dawa Yao ni Kessy ally
 
Back
Top Bottom