Kwanini Lissu, anang'aa hivi?

Kwanini Lissu, anang'aa hivi?

We jamaa utakua siyo mzima kichwani. Yaani huu upuuzi wako unataka kumuaminisha nao nani? Eti Lissu atashinda kwa 85%. Mtu akurupuke alipotoka huko aje ashinde urais, wakati kuna watu wamefanya kazi ya kuijenga na kuibadilisha nchi hii kwa miaka 5 bila kuchoka. Au unahisi watanzania ni wajinga kama wewe. Subiri uone tarehe 28
Mmh!
 
Jibu ni moja tu. Watu wengi wasiokua na shughuli maalum ndo wamejaa mitandaoni, na Wengi wao ni wa chama kilee cha Mbowe.
'Watu wengi wasiokuwa na kazi maalum' kwa nchi au vyama vyenye nia njema huwafanya watu hawa kuwa na 'kazi maalu' kinyume chake uwingi wao huonyesha umaskini wa nchi na ni bomu kwa watawala
 
Muulize Paskali Mayala, anajua siri hiyo
Nimefatilia post nyingi, wengi ili wapate wachangiaji lazima jina la Lissu lihusike kwenye headline.

Zingine zisizomtaja Kamanda Lissu hazidumu mda mrefu wala hazipati wachangiaji wengi. Watu wanafurahi headline inayoanza na chochote kinachomuhusu Lissu.

Baadhi wanateseka sana kwa anachokifanya Kamanda.

NINI SIRI YA KUNGAA KWA LISSU NA JINA LAKE?
 
Ni kama Nyerere mtu asiye na tamaa ya fedha ,anasaidis kutetea haki za watu wanaoonewa. Historia yake yote ni ya utetezi!
 
Jibu ni moja tu. Watu wengi wasiokua na shughuli maalum ndo wamejaa mitandaoni, na Wengi wao ni wa chama kilee cha Mbowe.
Wewe pia mmojawapo wasiokua na shughuli
Tuna kazi zetu tunalipwa mishahara ndio maana tunaweza kununua bundle kuperuzi na kujua yanayojiri kupitia JF
Next....
 
Jibu ni moja tu. Watu wengi wasiokua na shughuli maalum ndo wamejaa mitandaoni, na Wengi wao ni wa chama kilee cha Mbowe.
Wamewazidi mashabiki wa yule jamaa mwenye Kichwa kama Bedford la kizamani?
 
Sio Lissu hata mgombea mwenza Mwalimu nimeona clips akiwa Nachingwea na Songea kwenye ngome ya CCM aibu...Sasa baasiii
 
Back
Top Bottom