Sungusunguu
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 1,280
- 998
Niyeyee
Jibu ni moja tu. Watu wengi wasiokua na shughuli maalum ndo wamejaa mitandaoni, na Wengi wao ni wa chama kilee cha Mbowe.
Nimefatilia post nyingi, wengi ili wapate wachangiaji lazima jina la Lissu lihusike kwenye headline.
Zingine zisizomtaja Kamanda Lissu hazidumu mda mrefu wala hazipati wachangiaji wengi. Watu wanafurahi headline inayoanza na chochote kinachomuhusu Lissu.
Baadhi wanateseka sana kwa anachokifanya Kamanda.
NINI SIRI YA KUNGAA KWA LISSU NA JINA LAKE?
Mi naamini mtuNimefatilia post nyingi, wengi ili wapate wachangiaji lazima jina la Lissu lihusike kwenye headline.
Zingine zisizomtaja Kamanda Lissu hazidumu mda mrefu wala hazipati wachangiaji wengi. Watu wanafurahi headline inayoanza na chochote kinachomuhusu Lissu.
Baadhi wanateseka sana kwa anachokifanya Kamanda.
NINI SIRI YA KUNGAA KWA LISSU NA JINA LAKE?
Mmimi naamini MTU yeyote mwenye character(msimamo) na principles lazima mbele za watu atawavutia kwa sababu ana misimamo lakini zaidi ni iwapo ni kweli amewahi kuwatetea kisheria makundi flani ya kijamii bila malipo. Hii pia iliwahi kutokea kwa prof Shivji alipomtetea mbuge mama Weja dhidi ya Kitwana Kondo jimbo LA ilala. Lakini TALissu hana mikashifa ya hovyo kama ss wegine.Mambo haya yanaweza kuwa ndiyo kivutio kwa wengi.Nimefatilia post nyingi, wengi ili wapate wachangiaji lazima jina la Lissu lihusike kwenye headline.
Zingine zisizomtaja Kamanda Lissu hazidumu mda mrefu wala hazipati wachangiaji wengi. Watu wanafurahi headline inayoanza na chochote kinachomuhusu Lissu.
Baadhi wanateseka sana kwa anachokifanya Kamanda.
NINI SIRI YA KUNGAA KWA LISSU NA JINA LAKE?
Ngazi aliyopo katika chama cha freemason ndiyo inayomngarisha ila atathibitishwa endapo akimwaga damu ya watu 3k , amejiunga marekani baada ya kutaka kuonesha nia ya kugombea urais ndio maana anajiamini sana wanamlinda hao mashetani.Nimefatilia post nyingi, wengi ili wapate wachangiaji lazima jina la Lissu lihusike kwenye headline.