Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 24,852
- 26,985
Ni mbarikiwa, asiyetunza chuki, asiyelipa kisasi na mwalimu was haki.Nimefatilia post nyingi, wengi ili wapate wachangiaji lazima jina la Lissu lihusike kwenye headline.
Zingine zisizomtaja Kamanda Lissu hazidumu mda mrefu wala hazipati wachangiaji wengi. Watu wanafurahi headline inayoanza na chochote kinachomuhusu Lissu.
Baadhi wanateseka sana kwa anachokifanya Kamanda. NINI SIRI YA KUNGAA KWA LISSU NA JINA LAKE?

