Kwanini Lema hakuwepo uwanja wa Sheikh Amri Abeid kuwasilisha matatizo yanayoikabili Arusha?

Huko Bungeni amewasemea nini wanaArusha?
Bungeni Wapinzani huongea vingi vizuri lakini kazi ipo kwenye utekelezaji, CCM huwa hawataki kupeleka maendeleo kwa majimbo ya Wapinzani na hata yakipelekwa hupelekwa kwa mbinde pengine kwa kuona Aibu tu.
 
Kwani lipumba ni mbunge wa Arusha?
Lipumba ni CCM pia ni profeselii wa Olijino comedy, kichwani ni mtupu alichosomea chote kakisahau kichwani kasalia na Elimu ya darasa la nne pekee, kilichobaki ni kula pesa za CCM kisha anaenda kufanya fujo CUF kuiba Ruzuku ya CUF kwa kusaidiwa na Msajili wa vyama, Lipumba kwa sasa ndiyo mwanasiasa fala na mshamba kuliko wote nchini.
 
Eti kuna mtu amesema Arush hakuna matatizo,yani unakuwa muongo hadi unadanganya jina la mzazi wako
 
Afadhali nilichelewa kusoma ngonjera zako..
punguza wivu ndio utaweza kujenga hoja
 
Yeye kama mbunge Matatizo na changamoto yanawasilishwa bungeni sio Sheikh Amri Abeid

Hayo mambo ya majukwaani ni kwa aliowateua na wanaoreport kwake tu
Simple answer. Kisa rais amekuja haina maana ndio ukatangaze shida . Simply kama mmbunge anawasilisha shida zake bungeni. Otherwise kutakuwa hakuna kazi ya bunge. Yaan wanamtega rais akija kwenye majimbo yao then wanasema shida zao
 
Lipumba ni CCM pia ni profeselii wa Olijino comedy, kichwani ni mtupu alichosomea chote kakisahau kichwani kasalia na Elimu ya darasa la nne pekee, kilichobaki ni kula pesa za CCM kisha anaenda kufanya fujo CUF kuiba Ruzuku ya CUF kwa kusaidiwa na Msajili wa vyama, Lipumba kwa sasa ndiyo mwanasiasa fala na mshamba kuliko wote nchini.
Pia alimkataa fisadi
 
Pia alimkataa fisadi
Fisadi yupi? Richmond ni ya kikwete kunbuka Lipumba aliasi wenzake kipindi cha kampeni akachukua Dola milion 1.5 toka kwa akina membe na CCM akatorokea Rwanda kuunda kikundi cha Uasi kwa ajili ya kuwahujumu Wapinzani ni Fisadi na yeye pia ni mtu Hatari sana kwani hata Nissan nyeupe alileta watu toka Rwanda kuja kushirikiana na Heri Kisanduku makapero kumteketeza Tundu Lisu, Mungu hapendi Ujinga wake Lipumba ndiyo maana kule Rwanda alifeli na michepuko ikala pesa zake zote mpaka akapagawa na kurejea Tanzania kuja kuwahujumu Wapinzani live.
 
hata mimi ningekuwa Lema sikwenda uwanjani kamwe. yaani mkutano unakuwa kama wa ccm muda wote ni vijembe kwa wapinzani kana kwamba ni maadui wa taifa hilli. rais na mawaziri watambue kwamba wabunge wa upinzani ni takwa la wananchi na sio wao wenyewe wamejichagua. wanapaswa kuheshimiwa na kusikilizwa.
 
Back
Top Bottom