Kwanini kwenye sherehe chakula kinawekwa mwisho?

Kwanini kwenye sherehe chakula kinawekwa mwisho?

Daah kuna shughuli nilienda hatari ito msosi mwanzo mwisho ilikuwa ni outdoor tumezungukwa na majiko na buffet za kila aina yan ni wewe na kuamka kwako kwenda kujihudumia kwanza kuna supu/mchemsho wa kila kitu, nyama choma/kukaanga mbali mbali, bites n.k ni self service sherehe ilinoga sana
 
Back
Top Bottom