Kwanini kwenye ndoa ni rahisi mwanamke kuasi/kubadilika kitabia anapoanza michepuko tofauti na mwanaume?

Ikumbukwe mwanamke n
Kiumbe dhaifu sana n
Mwepes kuchukua maamuz ya
Haraka kuliko mwanaume



Triple A
 
hapana kapeace mwanamke akishacheat 99%huwa anabadilika !asipobadilika huyo MZOEFU ! thts y ni bora usicheat !inasumbua sana kurud kwenye reli shoga !
Duh hii nshakutana nayo pia sio mara moja, nadhani ni kawaida ya kila mwanamke asipopata sexual and emotional satisfaction. Ingawa wachache hu cheat kwa kuwa ni malaya wa kuzaliwa.
 
Habari wakuu,

Kuna mkasa umetokea leo kwa jamaa yangu na imekua incident kama ya saba hivi yenye kufanana kuisikia.

Ni kwamba jamaa analalamika kuwa mke wake alibadilika ghafla tabia na baada ya kufanya uchunguzi alikuja kugundua kuwa anatembea na boss wake kazini na alipojaribu kumbananisha mwanamke kampandishia kuwa wavunje ndoa.

Hii experience ya mwanamke kubadilika tabia anapoanza kuchepuka nimekutana nayo mara nyingi ila kwa upande wa wanaume ni tofauti, wengi tuna michepuko ya hapa na pale lakini ni mara chache sana kusikia kuwa michepuko imemfanya mwanaume abadilike kitabia(ndani ya ndoa/mahusiano)

Kwa upande wangu nimewahi kusikia mara moja tu.

Swali ni kwamba, ni nini kinapelekea hiyo tofauti? Au ndo mwanaume mashine?
Mwanamke akienda cheat anajenga kibanda kabisa, akili na hisia zote za mapenzi anahamishia kule hata kama alikuwa hana nia hiyo.
Hapo tegemea lugha za kejeli na dharau juu yako + kutokukusikiliza. Lazma uisome namba ikiwa unampenda sana KE wako.
 
Hata wanaume hubadilika, ni vile tu wanaume ni very sensitive kwa mabadiliko ya wake zao unlike wanawake.

Hapa ndipo huwa naamini kuwa kweli tuliumbwa wa mmoja mmoja, hauwezi ukawa sawa kwa mabwana/wake zaidi ya mmoja,lazima utaegemea upande mmoja zaidi. Sasa ikitokea upande wa mchepuko ni mzito zaidi ndio hayo hutokea.
 
Back
Top Bottom