Kwanini kwenye ndoa ni rahisi mwanamke kuasi/kubadilika kitabia anapoanza michepuko tofauti na mwanaume?

Mwanamke anapoamua kucheat ujue kuna jambo nyuma ya pazia limemfika pomoni, na akicheat hupenda mazima yaaani anahamisha akili na upendo kwa mchepuko. Sasa shida ndo inaanzia hapo, kumuona mumewe ka kakake tu. Ni vyema wanandoa kutatua changamotoo za ndani mwenu mapema

haswaaaaa!
 
lakini mamy km unakauzoefu vile !!!!!!!!!teh teh teh
 
hehehehe na usiwe mbinafsi !teh teh !
Unajua kinachowaponza vijana wengi ni kutamani kuwa na wasichana warembo huku hela za kuunga unga,
Bila kujua watu wengi wenye hela wana wake wa kawaida sana alafu halafu hao warembo watu hupita kama njia tu!
 
Mwanamke Akiwa Na Mchepuko Ndani Ya Wiki Tu Lazima Umgundue Labda Uwe Zezeta Wa Kiwango Cha Standard Gauge, Wanawake Wana Roho Ngumu Sana
 
Back
Top Bottom