AKILI KIJIKO
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 405
- 591
Sasa naww muige mwenzio alishika waya wa EarthKweli mm nilishuhudia fundi anashika waya live bila wasi nikachoka nikamuuliza akanijibu something to do with conductivity au Earthing sikumbuki vzr.
Sio bacteria mkuu, kuna kitu kingine kinaitwa rustingMkuu Kunguru haozi bali hukauka tu,suala la kwanini haozi nimelitolea maelezo huko juu,ni kweli atakauka ila "atapotea" kwa nature,hata chuma ukikiweka ardhini for so long,mwisho wake kitabadilika na kua udongo tu na kupotea,hiyo haina maana eti chuma kimeshambuliwa na bacteria!
Mkuu kwanza sikusema chuma kinaliwa na "bacteria" nisome tena comment yangu kwa umakini na hasa sentensi ya mwisho.Sio bacteria mkuu, kuna kitu kingine kinaitwa rusting
View attachment 474249
Hebu niambie basi kwa nini plastic yenyewe haipotei na kubadilika kuwa udongo?View attachment 474249
Wapi nimesema una mwenyewe? Kuna situation fulani hupelekea shock kutokeaWe uctudanganye umeme hauna mwenyewe shoti lazima
Alikudanganya huyo .. alisha earth wire or neutral.. kwa kuwa ww ulikimbia kusoma science.. ukakubakKweli mm nilishuhudia fundi anashika waya live bila wasi nikachoka nikamuuliza akanijibu something to do with conductivity au Earthing sikumbuki vzr.
Sio kunguru tu ndege aina kibao hununginia katika izo Transmission lines, Wapo popo pia ambao hufanya mistake na kukaukia pale pale iko hivi umeme huleta short indapo tu utapata sehemu ya kuflow yenye utafauti wa voltage, Ndege wale hukaa ktk phase moja tu ambayo ina same volts incase aka gusa phase au ground ingine awe kunguru au kuku atapigwa tu mana atakuwa ametengeneza pass ya kupitisha umeme from high to low concentration regionNing'inia ww uone acha kutulisha matango pori cc siyo kunguru hakuna cha kanuni
Mkuu ukiwa kwenye equal potential shock haiwezi kukupiga kamwe watu wengi hupigwa na short kwa vile hukamilisha circuit kwa kukanyaga au kugusa sehemu yingine ambayo hu act kama ground, Insulation ya kunguru miguuni kamwe haiwezi kuzuia 132Kv au 400Kv High voltage ktk pylon (Grid)kwel kuhusu elimu ya umeme unaweza kushika waya wa live wa umeme na usipigwe shot inatakiwa usitetemeahe mkono endapo utatetemesha ulivyo ushika usipo kufa utazimia.kunguru anapigwa shot kwenye mabawa yake akiruka vibaya analambwa shot.
Bora umenisaidia mkuu vijana hawaamini kabisa swala hiliMkuu chaUkucha
Sio kweli Kunguru hapigwi shoti ya umeme coz ya sumu iliyopo ndani ya damu yake,
Unajua hakuna shoti kama hakuna "potential difference" katika terminals za kifaa chochote kile,
Kunguru anapokanyaga waya mmoja kunakua hakuna "Partial discharde ( p.d ) lakini kama akitanua miguu yake na kukanyaga waya mbili atapigwa na shoti na kugeuka majivu in a seconds!
Chukulia mfano wa binaadamu,yeye anatengeneza partial discharge (p.d) kati ya waya na "earth"
Yani binaadamu anapokuwa kasimama ardhini, lakini kama akining'inia kwenye waya kwa mkono mmoja au hata kwa mikono yake yote miwili ikiwa karibukaribu hakuna madhara mradi hagusi chochote kinachogusana na ardhi. Lakini kama akitanua mikono yake itakua anatengeneza partial discharge na lazima apigwe na shoti,
Kitu kingine,Kunguru miguu yake ina magamba ambayo ni "Insulation" hii humsaidia asipigwe na shoti hata akigusa miguu yote hatapata shoti,ila hiyo insulation yake ni kwa umeme mdogo tu kama vile 1V to 450V kwa umeme mkubwa hiyo insulation yake miguuni haitomsaidia kitu.
Salama?Nyambaaaaaaafuuu
Hili nimeshudia sana kwenye plant moja ya umeme,sema ile miguu yake ina magamba magumu ambayo huact kama insulator hivyo umeme hushindwa kupenya.Pia akifa wadudu humshambulia(funza weupe) isipokua nzi ndo hawamsogelei.kwel kuhusu elimu ya umeme unaweza kushika waya wa live wa umeme na usipigwe shot inatakiwa usitetemeahe mkono endapo utatetemesha ulivyo ushika usipo kufa utazimia.kunguru anapigwa shot kwenye mabawa yake akiruka vibaya analambwa shot.
Wakati mwengine akigusa tumbo lake anaipata freshNa sio kunguru tu, hata ndege yeyote anayetua juu ya nyaya za umeme bila kupata madhara yayoye hawezi kuoza!
Mkuu magamba ya kunguru si chochote katika umeme wa msongo wa kati medium voltage kati ya 11kV au 33kv au msongo wa juu 132kV mpaka 400Kv kinachomlinda kunguru na ndege wengine nimekieleza juu apo, hio insulation yake miguuni labda katika low voltage 250v mpaka 450vHili nimeshudia sana kwenye plant moja ya umeme,sema ile miguu yake ina magamba magumu ambayo huact kama insulator hivyo umeme hushindwa kupenya.Pia akifa wadudu humshambulia(funza weupe) isipokua inzi ndo hawamsogelei.
Mkuu hawa vijana wa siku hizi anaweza kukubishia jambo sio kwamba ana ujuzi nalo au ana ufahamu nalo bali wameshakua na ile mentality kua kuchangia hoja jf ni "kubishana" au "kumkejeli" mchangiaji!!Bora umenisaidia mkuu vijana hawaamini kabisa swala hili
Uko sahihi kabisa Mkuu.Mkuu ukiwa kwenye equal potential shock haiwezi kukupiga kamwe watu wengi hupigwa na short kwa vile hukamilisha circuit kwa kukanyaga au kugusa sehemu yingine ambayo hu act kama ground, Insulation ya kunguru miguuni kamwe haiwezi kuzuia 132Kv au 400Kv High voltage ktk pylon (Grid)
Na mmAmelaaniwa na nani?
Ni hatari sana mkuu, Sikuhzi vyazo vya kupata maarifa viko open sana vijana kusoma hatutaki tena kila jambo ni la kuchangia kwa mihemko ya kisiasa, Anyway mkuu nikutakie Usiku mwema.Mkuu hawa vijana wa siku hizi anaweza kukubishia jambo sio kwamba ana ujuzi nalo au ana ufahamu nalo bali wameshakua na ile mentality kua kuchangia hoja jf ni kubishana,sasa unakuta mtu anabisha kitu bila hata yeye kuweka ukweli wake?!
Ukishika waya mmoja na hujagusana na ardhi au umevaa viatu haupigwi shoti!.We uctudanganye umeme hauna mwenyewe shoti lazima
Duh kumbe,Damu yake ina sumu kali sana kiasi akifa hakuna bacteria ambaye anamsogelea na hivyo kutooza zaidi,
Kunguru hukauka tu na huwezi kuona INZI akimsogelea kunguru hata siku moja, kwani ana sumu kali sana akiwa mzoga.
kipindi cha nuhu alitumwa atoke nje ya safina akaangalie hali ipoje akatokomea kwa kunogewa na mizoga akalaaniwa vivyo hivyo firauni nayy mzoga wake ulilaaniwa hata wadudu wasiusogelee kama ilivyo kwa kunguru na hadi leo mzoga wake upo kamili gado....naweza kusahihishwaKiumbe yoyote akifa anaoza then funza wanamshambulia lakini kwa kunguru ni tofauti nimeshuhudia kunguru mfu wengi lakini sijaona funza, huyu kunguru ana nini?!