Chizi Jambazi
JF-Expert Member
- Sep 22, 2017
- 1,859
- 1,456
Una tako kubwa?Nimekuja sehemu msibani, nimekaa kwenye kiti, amekuja jamaa ameweka kitu chake kinagusana kabisa na kiti changu, huku mabega yake yakikutana na yangu.
Nikakausha, sasa jamaa anapiga story anajisahau anakugusa miguuni, hii kitu ni very awkward. Nashindwa kumuelewa huyu jamaa yeye anaona kawaida au anamatatizo hanastarabika?