Kwanini kuna msikiti ndani ya hospital ya rufaa ya Tanga( Bombo)

Wakuu hivi kwanini kuna msikiti ndani ya hospital ya rufaa mkoa wa Tanga(Bombo) na kwanini ulijengwa ila by the way nimpongeze aliyetoa wazo la ujenzi wa huo msikiti Allah ambariki uislamu ni dini ya haki.
Hospitali zote kubwa kuna misikiti, kuswalia maiti hasa wanaozikwa na Serikali. Hata Muhimbili upo.
 
Wakuu hivi kwanini kuna msikiti ndani ya hospital ya rufaa mkoa wa Tanga(Bombo) na kwanini ulijengwa ila by the way nimpongeze aliyetoa wazo la ujenzi wa huo msikiti Allah ambariki uislamu ni dini ya haki.
Mbona kuna makanisa pia ndani ya hospitali ya kcmc na Seliani Arusha
 
Kanisa kuwepo DCMC, KCMC, Bugando, Selian,Haydom, Mvumi Mission Hospital ni halali maana ni hospitali za kanisa.

Kuwepo kwa makanisa na misikiti BMRH, MNH, ni halali kwa kuwa licha ya kuwa si hospital za taasisi za dini, lakini wananchi wagonjwa au wanaouguza wana haki ya kupata huduma za kiroho wakiwa hospitalini.
 
Muhimbili kuna kanisa na msikiti, Rufaa Mbeya kuna kanisa.

Ni kawaida maeneo hayo kua na nyumba za ibada, wagonjwa nao huabudu.
 
Wakuu hivi kwanini kuna msikiti ndani ya hospital ya rufaa mkoa wa Tanga(Bombo) na kwanini ulijengwa ila by the way nimpongeze aliyetoa wazo la ujenzi wa huo msikiti Allah ambariki uislamu ni dini ya haki.
umechemka ulipotaja uislam ni dini haki, kwani zingine hazina haki? Acha ujinga
 
Wakuu hivi kwanini kuna msikiti ndani ya hospital ya rufaa mkoa wa Tanga(Bombo) na kwanini ulijengwa ila by the way nimpongeze aliyetoa wazo la ujenzi wa huo msikiti Allah ambariki uislamu ni dini ya haki.
Hospitali nyingi kubwa zina sehemu za msikiti au hata makanisa yanasaidia wagonjwa kusali,pia wanatumia kuombea wagonjwa wanaozikwa na serikali
 
Back
Top Bottom