Kwanini kuna Mapacha wanafanana lakini vidole havifanani?

Kwanini kuna Mapacha wanafanana lakini vidole havifanani?

Njaramatata

Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
44
Reaction score
66
Hali zenu wana jukwaa,

Kwa Muda mrefu nimekuwa najiuliza na kuuliza watu mbali mbali na hata kufanya tafiti fulani,lakini bado sijaelewa.

Kuna mapacha wanaofanana kila kitu kiasi hata wazazi wanashindwa kuwatofautisha mpaka DNA Ni moja lakini alama zao za vidole haijatokea zifanane.

Je, Kuna mtu anaweza nieleza Ni kwa Nini?

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom