Kenya wanazalisha Sana kwa maana ya viwanda na nahitaji yao mengi ya kilasiku wanazalisha wenyewe sie Tanzania vitu vingi tuna agiza na Kama tukitengeneza Basi tunatengeneza quality ya chini ambayo hatwez kuuza nje.
Mfano
1. Sabuni za unga, na kipande za Tanzania fananisha na Kenya.
2. Mafuta ya kupikia na kujipaka.
Niliona kipindi Tanzania ameanza kuuza CHAKULA Kenya kwa fujo nikaona thamani ya Tsh ikipanda huku Ksh ikishuka nikanote kuwa export ya Bidhaa ndio inayokuza UCHUMI wa taifa husika.
Hua si angalii thamani ya pesa ila naangalia purchasing power ya pesa husika kwa kuiiweke katika equivalent ya US Dollar. Then chukua hiyo equivalent ya US dollar nenda kafanye nayo manunuzi katika nchi husika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.