Donald Marcus Hemu
JF-Expert Member
- May 14, 2019
- 372
- 532
kwanini hukuona aibu foden kupewa tuzo mbele ya mount na saka wakati anazidiwa kila kitu!!!?Aibu nimeona mimi
Hilo gape la point 14 alilirithi kwa kocha mwingine au alilitengeneza mwenyewe?Sababu zimetolewa hapo unachobisha nini went from 14 points behind mpaka 1 point tena imeamuliwa game ya mwisho, Unbeaten home whole season conceded fewer games on the league...... una chakuuliza kingine!!?
Wale kina mane , Salah, fabinho, keita Diaz, Jota, konate?
Walikuzwa Liverpool
Dola elfu kumi? Au sijasoma vizuri?Hii hapa list ya Makombe ya kandanda most expensive Duniani.
10. English Premier League trophy – $10,000
9. UEFA Champions League – $15,000
8. Bundesliga Meisterschale – $57,102
7. Serie A trophy – $66,000
6. Africa Cup of Nations trophy – $150,000
5. Ballon d’Or trophy
4. The FA Cup trophy – $1,180,000
3. UEFA Europa League trophy – $4.5 million
2. Copa Libertadores trophy – $8.5 million
1. FIFA World Cup trophy – $20,000,000
Source: 247NEWS
Total amount ya hela walionunuliwa hao jamaa ni Grealish mmoja tu!!Wale kina mane , Salah, fabinho, keita Diaz, Jota, konate?
Walikuzwa Liverpool
Tangu aiache dotmund imebeba ubingwa?Mwambie klopp aende Burnley kama yeye hahitaji pesa kutengeneza kikosi
Mh! MuongoBurnley kamfunga hapo..!!
Kaulize Allison kachukuliwa kwa bei gani ...Tangu aiache dotmund imebeba ubingwa?
KDB kaisaidia timu kushinda PL hayo magoli ya Salah yameisaidia Nini Liverpool?KDB hakuchukua tuzo ya mchezaji bora wa mwezi ila amekuja kubeba mchezaji bora wa msimu kwanini sio SALAH au SON?
Hivyo navyo ni vigezo vya kuwa manager of the seasonSababu zimetolewa hapo unachobisha nini went from 14 points behind mpaka 1 point tena imeamuliwa game ya mwisho, Unbeaten home whole season conceded fewer games on the league...... una chakuuliza kingine!!?
Vigezo vyako vya uchochoroni havina nafasi, kaa Kwa kutulia na endelea kukumbatia hcho kikombe chako kimoja ulichokipata Kwa bahati na sibuHii ni tuzo ya PL mbona mnajaribu kutafuta maeno ya kujificha
itakuchukua miaka mingine 30Vigezo vyako vya uchochoroni havina nafasi, kaa Kwa kutulia na endelea kukumbatia hcho kikombe chako kimoja ulichokipata Kwa bahati na sibu
Fanya kufuatilia..!Mh! Muongo
Kombe la mbuzi , wenzako wapo kwenye European trophy....we ni Sawa na Yanga tuu , kombe level moja
anaifikishaKaulize Allison kachukuliwa kwa bei gani ...
VVD kachukuliwa kwa bei gani ....
Harafu unasema klopp hatumii pesa ,mbona mnakuwa weupe Sana vichwani ....
Kama klopp hatumii pesa aichukue Burnley ifike hata top four, vinginevyo tulieni
Jumlisha wote hao pesa waliyonunuliwa , unapata karibu nusu ya pesa aliyonunuliwa grealish pekee.Wale kina mane , Salah, fabinho, keita Diaz, Jota, konate?
Walikuzwa Liverpool
Tukienda kwa hisia za kishabiki kama hivi naona hatuwezi kufikia conclusion, ikiwa unaona Klopp halustahili kabisa kitambulika kama kocha bora naomba uweke vigezo vinavyotumika kumpata kocha bora wa msimu ili tuone.Pep ni level nyingine kabisa ,kwa kila kitu....
Hiyo uefa unayoisema pep kashaandika historia kitambo ....
Kloop kachukua hiyo uefa akiwa Liverpool mbele ya Spurs 2019 ,kitu ambacho pep kashafanya kitambo wakati klopp Bado anahangaika na