Mzee wa Gizani
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 4,997
- 6,290
Hao ni dizaini yako sasa, mmekunywa maji ya bendera ya chama na hawatumii akili kabisa..OK, vp kuhusu wanaopoteza kazi na kipato chao, wao kosa lao ni lipi hadi mfurahie?
Mfano walimu ndio kundi linalo ongoza kwa maslahi mabovu lakini wao ndio wapo mstari wa mbele kutetea upuuzi.
Ndio maana wakifukuzwa kazi watu wa dizaini hiyo au wakipunguzwa makazini watu wanafurahi maana wakitoka tu kwenye system akili hua zina warudi haraka.
Hata wewe ipo siku akili itakukaa Sawa tu.
Mwone nape sasa hivi tunaongea naye lugha moja.