Kwanini kiwanda kikifungwa, mnashangilia?

Ukiona hivo jua kuwa watu hawaipend serikali iliyopo,na ukumbuke MTU au kitu hakiwezi chukiwa mpka kuwe na sababu,basi sababu ndohiyo kuwa watu ni majiwe na mawe yenyewe hayataki kukubal ukwel so wacha wafrah binafsi.............
 
Kuna tofauti gani na kupunguza watu kazi kwa kisingizio cha vyeti fake kisha nafasi zao zisijazwe na wenye vyeti halali? Usijifanye una uchungu na ajira za wananchi kwa kiwanda kufunga huku mnaharibu uchumi kwa sera mbovu kiasi kupelekea viwanda kufungwa.

Lazima uwe na uelewa mpana, sasa hivi ndio debe la viwanda limeshika kasi lakini viwanda ndio vinafungwa, hujiulizi tu? Sera mbovu ndio zinachangia haya yote. Nyie kalieni siasa za kipuuzi za wizi wa kura 2020 huku uchumi unaharibika mnaishia kuhadaa umma kwa kuzindua miradi ya zamani.
Kwel kabisa mkuuu,hawa watu huwa wanajifanya wako smart kwel kweny ishu kama hii,sema tumewaahtukia kazi Yao kudanganya watu na kanga,tumewashtukia Kwa kwel,wanayoyafanya yote ni marudio tu
 
Hivi tatizo huwa ni nini kwa maana sijawahi kuelewa yaani mtu akisikia tu fununu mahali kiwanda kinafungwa basi hukimbilia JF kwa furaha na vifijo kushangilia, hivi ni kwanini?

Na siyo kiwanda tu akisia hata basi la mwendokasi limepata pancha au kuharibika mbio kwa furaha JF kuhabarisha huku akifurahia au kama kuna habari benki XYZ inafungwa au kupata hasara furaha huwajaa, hivi ni kwanini?

Je, ni ubinafsi tu kwamba watakaoathirika ni wengine na siyo wewe au ni nini? Yaani unafaidika nini na wenzako kupoteza kazi?
FB_IMG_1526652263266.jpg
 
Maono ya yule mwenye hekima kuliko wote yanatimia bila hofu wala mashaka! Bado wapiga zumari hawajatambua madhara tunayoachiwa na vizazi vijavyo,.
 
Sasa, nikukute saa sita mchana kwenye soko la kijiji umevaa saa na shanga mbili kiunoni bila kusahau miwani halafu umeshika briefcase na haujavaa hata nguo moja(nasisitiza,hujavaa hata nguo moja)nisicheke kwa nini?
 
Kwa hiyo ndo maana unashangilia kiwanda kikifungwa?
Yaaani sisi watanzania tumejawa na ma siasa kuzidi,Jambo linalofanywa na ccm wapinzani hawatopenda lifanikiwe ,pia jambo zuri likifanywa na upinzani ccm hawatopenda lifanikiwe.Haya yote akiyeya asisi ni ndugu kidevu kirefu kwenda chini,mr.uwaraza au Jiwe
 
Hivi tatizo huwa ni nini kwa maana sijawahi kuelewa yaani mtu akisikia tu fununu mahali kiwanda kinafungwa basi hukimbilia JF kwa furaha na vifijo kushangilia, hivi ni kwanini?

Na siyo kiwanda tu akisia hata basi la mwendokasi limepata pancha au kuharibika mbio kwa furaha JF kuhabarisha huku akifurahia au kama kuna habari benki XYZ inafungwa au kupata hasara furaha huwajaa, hivi ni kwanini?

Je, ni ubinafsi tu kwamba watakaoathirika ni wengine na siyo wewe au ni nini? Yaani unafaidika nini na wenzako kupoteza kazi?
Wajinga,na wapumbavu ndio watashangilia,au ni watu wasio raia.
 
Ukiona hivo jua kuwa watu hawaipend serikali iliyopo,na ukumbuke MTU au kitu hakiwezi chukiwa mpka kuwe na sababu,basi sababu ndohiyo kuwa watu ni majiwe na mawe yenyewe hayataki kukubal ukwel so wacha wafrah binafsi.............

Sawa labda hawaipendi Serikali lkn vipi kuhusu Watanzania wanaopoteza kazi kosa lao ni lipi hadi mfurahie?
 
Tundu alivyotunguliwa si ulifurahia?kwanini

Sikufurahia, ila wapo waliofurahia labda walikuwa na uadui wa Kisiasa au kibiashara ila sielewi kwani nini Mtanzania kupoteza kazi kukufurahishe, mtu ambaye hajakukosea chochote, hapi ndipo pagumu kuelewa!
 
Basi jua kwamba ppo we are differ..
 
Sawa labda hawaipendi Serikali lkn vipi kuhusu Watanzania wanaopoteza kazi kosa lao ni lipi hadi mfurahie?
Angekuwa na hekima hata issue ya wafanyakazi angetumia hekima na busara. Lakini pia kauli za mkulu kutuambia tutalimia meno, mara atakayebaki mjini mwanaume, mara tutaishi kama mashetani, mara tetemeko sikuleta mimi, mara wenye njaa mnataka niwapikie, pia wenye upungufu wa chakula anawaambia mtakufa tu. Hizi zote ni kauli za mtu asiyekuwa na hekima, mwenye roho mbaya, asiyewajali wenye nchi na anayefikiri hiyo nafasi imemfanya amekuwa na akili na nguvu kuliko wenye nchi.
 
Hiyo ndo sababu ya wewe kufurahia Kiwanda kufungwa?
 
Back
Top Bottom