Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 3,621
- 6,512
Hili ni swali nimekuwa najiuliza muda mrefu ila sijapata mtu wa kunifahamisha.
Kwa nini kituo cha Mawasiliano kilichopo Sinza/Ubungo kinaitwa Simu 2000. Jina hilo limetokea wapi?
Na je kinatamkwaje, 'Simu Two Thousand' au 'Simu Elfu Mbili'?
Swali la mwisho, kwa nini pamoja na kuwa ndiyo jina rasmi la kituo kwa maana tiketi na mabasi yameandikwa hivyo, makondakta wanaonekana kupendelea zaidi jina la 'Ubungo Mawasiliano'?