Kwanini kitendo cha mapenzi ya kinyume kinaitwa tigo?

Kwanini kitendo cha mapenzi ya kinyume kinaitwa tigo?

Wajuzi naomba kueleweshwa ni muda mrefu kidogo nasikia watu wakisema maneno kama kaliwa tigo, anagawa tigo nakadhalika nakadhalika wakimaanisha kitendo cha mapenzi ya kinyume na maumbile na kinyume na radhi ya Mwenyezi Mungu.

Ninachouliza imekuwaje mtandao huo ukafananishwa na the mk...u vinafanana vipi na kwa nini isiwe mitandao mingine. Ilianzaanzaje wakawekewa dhana ya kinyume.

Sasa na hii ya jaza ujazwe ndo sielewi kabisaa hii kaulimbiu ni kwa jinsia zote watajazwa. Jamani ushamba mzigo nisaidieni uelewa.
Kama sjakosea ilitokana na kauli mbiu ya mtandao huo kipindi fulani kuwa ni mtandao 'Unao kupa zaidi'then wataalamu wa mambo wakaona hicho kitendo ni sawa na kupewa zaidi
 
Kama sjakosea ilitokana na kauli mbiu ya mtandao huo kipindi fulani kuwa ni mtandao 'Unao kupa zaidi'then wataalamu wa mambo wakaona hicho kitendo ni sawa na kupewa zaidi
Hatariii Mungu tunusuru na maangamizi
 
Kwenye tangazo lao LA mwanzonikabisa kulikua nakina Dada warembo sana nazaniniwakinywarwanda ndipojinalilipoanzia
 
Hatariii Mungu tunusuru na maangamizi
IMG-20170528-WA0078.jpg
 
Ninachojua ni kwamba, kwenye maeneo ya pwani walikuwa wanasema kugeuzwa nyuma kuwa ni kupigishwa "goti". Sasa ktk kupoza hilo la kupigishwa goti, ndio wakaligeuza na kusema anatoa "tigo" na wakati huo tayari kuna huu mtandao.
Ni kama vile baadhi ya watu humu jf huita "chupi" kwa jina la "pichu"!
 
hamna bwana neno tigo lilikuja baada ya mtandao wa tigo kuwa maarufu kipindi kile kwa ofa zake za extreme so watu wengi wakaukimbilia baada ya hapo kila kitu kinachopendwa sana kikaitwa tigo ikiwemo jicho
 
Okay ile 'tigo matigo ' umenifumbua mkuu sasa napata point , Ahsante.
Huyu jamaa anaweza kuwa sahihi,Mimi mwenyewe nimekuwa najiuliza muda mrefu kwanini mtandao huo uhusishwe na mapenzi ya usodoma.
 
Sikumbuki vizuri lakini nafikiri umri wa kutosha kuitwa binti lakini sikuwa kwenye mitandao , nakumbuka tu ile kaulimbiu yao ilijulikana sana 'buzz ni bomba' halafu ile sijui zummm zummm
Bila kusahau "buzz kwenda buzz ni bure"
 
Mwanzoni kabisa walikuwa wanaita channel 0 kwasababu ya ile channel ya muziki dstv ilikuwa na nembo 0 sasa baadae tigo nao wakaweka nembo kama ya hiyo channel na zaidi sana wakaleta slogan ya kutwanga kote kote hapo ndipo iliposhika kasi. Nadhani wajuzi wanajua zaidi.
 
Back
Top Bottom