Kwanini kitendo cha mapenzi ya kinyume kinaitwa tigo?

Kwanini kitendo cha mapenzi ya kinyume kinaitwa tigo?

Kuna kipindi fulan tigo walikuja na tangazo lao wakionyesha mtu anafunga kidole gumba na cha shahada mfano wa sufuri...hapo ndipo dhana hii ilipoanza mpk leo kufunganisha vidole hiv kumebeba ujumbe huo.
Mweeee makubwa
 
Ubarikiwe sana shetani antafuta mawindo yake
Ramadhani imeingia mkuu unabahati ngoja uwe wa kwanza kukusamehe. Ushauri wangu kwako tu, usione ukadhani , heshima ni kitu cha bure. Ahsante.
 
Tigo kifananishwa na the ...........huhuhuhuu...mi nafkili tigo ilkua na user wachache ndio maana na kule kukaitwa tigo
 
Kuna wale Askari wa kwenye pikipiki wenye nguo za kijani nao wanaitwa Tigo.

upload_2017-5-27_0-1-53.jpeg
 
Nadhani ilitokana na lile tangazo ambalo jamaa aliachwa nss gari wakati anadownload [emoji90]. Sikumbuki vizuri mwaka

:Silasc
 
me nahisi ni kile kipindi tigo iko na "express yourself"....jiachie...sio mbele tu hata nyuma....
i guess hapo ndo ilianzaga
 
Watz maneno ya kuhusu ngono hawaishiwi mi nasemaga watz kwa habari za ngono wanazipenda sana. Nasikiaga wengine wakiita jicho wengine ndogo na tigo ila wenyewe tiGO walitunga jina hili wakiwa na maana nzuri ila wabongo na ushetani wao wanapotosha neni tiGo kirefu chake "trust in GOD" (tiGO) ndio maana hio GO inakua ya hetufi kubwa kumaanisha GOD
 
TIGO-Trust in God only
TIGO-Transportable Intergrated Geodetic Observatory

Hayo yote hapo juu ni tofauti kimaana na huu mtandao wenu pendwa,So acha kudanganya watu.Tigo as a service provider ni jina tu kama majina mengine.

bb0a46dd42ca2087377988fee1fed0f7.jpg
 
Tigo - mtandao unaokupa zaidi.. hapo ndo mwanzo..
 
Wakati Buzz inabadilishwa kuwa Tigo ulikuwa na miaka mingapi?
Zile ofa za bwelele Tigo Extreme na Sms 1000 bure ulikuwa darasa la ngapi?? 2005, 2006, 2007?
Nilishakujibu mkuu nilikuwa na umri wa kutosha kuitwa binti.
Yaani mi ni kushoto kabisa na huo mtandao wa tigo line nanunua hadi zinaexpire hata sasa ninayo lakini moyo umegoma kabisa kuupokea huo mtandao tangu waanze. Zile sms zilizokuwa za karaha kila wakati zilinifanya niuchukie huo mtandao hadi leo hii bado sijavutiwa nao.
 
Back
Top Bottom