Kwanini kitendo cha mapenzi ya kinyume kinaitwa tigo?

Kwanini kitendo cha mapenzi ya kinyume kinaitwa tigo?

Sikumbuki vizuri lakini nafikiri umri wa kutosha kuitwa binti lakini sikuwa kwenye mitandao , nakumbuka tu ile kaulimbiu yao ilijulikana sana 'buzz ni bomba' halafu ile sijui zummm zummm
Kumbe ww ni binti
 
Jaribu kushika kikombe cha kahawa ile sifuri inayopatikana pale ndo tigo yenyewe
 
Mda uo nakumbuka nipo second year udsm tupo hol 2 floor ya 8 na lift ni tatizo...Tanzania nakukumbuka...@2005
Lazima ulikuwa unashuka asubuhi na kurudi kulala usiku, unashinda kwenye vimbweta
 
Kuna kipindi mtandao wa tigo walikuwa na kauli mbiu yao iliyosema "mtandao unaoukupa ZAIDI" yaani unapewa ziada ya kile unachokihitaji
 
Back
Top Bottom